More Chances
Senior Member
- Jun 24, 2022
- 151
- 344
Au tuseme uchumi umeachia?Huu mwaka ndoa zimekuwa nyingi naona..
Malaika aliyeshikilia kitengo anaupiga mwingi sana 🔥
Tuanze kujiandaa kukuchangia pia?Huu mwaka ndoa zimekuwa nyingi naona..
Malaika aliyeshikilia kitengo anaupiga mwingi sana 🔥
Tena hizi harus zenye mbwembwe ndio huwa hawachelewagi ku breakHalafu baada ya miezi 5 utaona status....."single and happy" kuchezea tu hela za watu
Bado kwanza 🤭Tuanze kujiandaa kukuchangia pia?
😂😂Halafu baada ya miezi 5 utaona status....."single and happy" kuchezea tu hela za watu
sijui kwanini....ni kama vile maharusi wakifungua shampeni shetani nae anafungua yake.Tena hizi harus zenye mbwembwe ndio huwa hawachelewagi ku break
Sababu ni nyingi sana, wengine pressure ya wazazi, anaona yeye anachangia wengine anaamua kumfosi na wa kwake aoe/aolewe wakati mtoto bado hajawa tyrsijui kwanini....ni kama vile maharusi wakifungua shampeni shetani nae anafungua yake.
kuna harusi moja ilikua matata sana ndani ya ukumbi bi harusi alivaa shela mbili, yani kakaa masaa kadhaa akatoka kwenda kuchange ile ndoa ilidumu kwa wiki 2 tu. Bi harusi akarudi kwake bwana harusi akarudi kwao.
Hii sanaSababu ni nyingi sana, wengine pressure ya wazazi, anaona yeye anachangia wengine anaamua kumfosi na wa kwake aoe/aolewe wakati mtoto bado hajawa tyr
Kati ya hizo ndoa nyingi mwaka huu naomba bhasi na ndoa yetu tuifunge/tufunge mwaka huu mwezi wa kumi na moja tarehe kumi na tano......Huu mwaka ndoa zimekuwa nyingi naona..
Malaika aliyeshikilia kitengo anaupiga mwingi sana [emoji91]
Ruhusu bhana watu waanze kukuchangia/kutuchangia[emoji2]Bado kwanza [emoji2960]