FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Assuming inatokea..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
assuming inatokea..
Tutafunga tena siku nyingine 30 hadi uzaliwe mwezi mwingine
Assuming inatokea..
Such a stupid thought, hakuna kitakachotokea kama unaelewa nini maana ya gravitational force, kwa sababu hakuna kiumbe kinachoishi huko kwenye mwezi, so kama ukilipuliwa kwa nucleur, utarusha mavifusi kwa mavifusi kama ilivyotokea Nagasaki na Hiroshima, at the end miamba yote iliyorushwa juu itarudi kwenye position mpya kutokana na force iliyoko huko kwenye mwezi, then things will go as is right now, tena huku duniani hatutajua chochote kinachoendelea huko, coz mwanga tutaupata kama kawaida ambao una akisiwa kutoka kwenye jua!