Mwezi ukilipuliwa kwa bomu la nuclear, nini kitatokea?

hakuna nuclear ya kufika huko asee,labda wakilipeleka kwa roket kisha wakalipulia hukohuko.
hakuna kitu kitatokea.
ila kutakua na particle na vumbi,radiation vikielea huko kwenye galaxy
 
Mwezi una size gani ukilinganisha na dunia!
 
Mwezi ni mdogo kwa ukubwa ukilinganisha na dunia
 
Utasambaratika na hatutaona mbalamwezi tena
 
bomu linaweza kulipuka au lisilipuke.. na hata likilipukas haliwezi kuharibu srface ya mweziii
 
Samaki watavuliwa wengi....kwih kwih...
 
Such a stupid thought, hakuna kitakachotokea kama unaelewa nini maana ya gravitational force, kwa sababu hakuna kiumbe kinachoishi huko kwenye mwezi, so kama ukilipuliwa kwa nucleur, utarusha mavifusi kwa mavifusi kama ilivyotokea Nagasaki na Hiroshima, at the end miamba yote iliyorushwa juu itarudi kwenye position mpya kutokana na force iliyoko huko kwenye mwezi, then things will go as is right now, tena huku duniani hatutajua chochote kinachoendelea huko, coz mwanga tutaupata kama kawaida ambao una akisiwa kutoka kwenye jua!
 

Hivi miamba ya huko kwenye mwezi haina madini kama almasi, dhahabu au tanzanite?

(Mie naomba tu Mungu mijitu mibaya isiulipue ili kesho tule Eid)
 
Sikukuu ya idd itafutwa rasimi maana mwezi hautaonekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…