Hapaa kazi ipooPopoz za kutosha zina dalili ya kila aina ya magonjwa ya zinaa. Ni wale wa dizaini ya zima taa
Dar es Salam yote unaijua kweliDar es salaam ilijulikana kama mji mkuu na makao makuu ya Tanzania. Ila kwa sasa serikali imeamia Dodoma ambayo ndiyo makao makuu ya nchi.
Shauku yangu ya kuizunguka Dar nzima ni katika harakati zangu za kutafuta wapi pa kuweka makazi yangu ya kudumu.
1. Masaki, Osterbay, Upanga, Msasani Peninsula
Ni eneo linalotaaaliwa na wageni na watu wenye uwezo mkubwa hivyo kufanya nyumba kuwa za gharama ya juu. Kuna miundombinu ya barabara na mitaa inaeleweka. Huduma ya maji na umeme zinapatikana kwa uhakika. Ila barabara zinahitaji kufanyiwa matengenezo. Imejitosheleza kwa huduma kama restaurants, maduka, lounges. Maisha ya usiku yako poa sana. Sema gharama kwenye restaurant nyingi.
2. Mikocheni, Kinondoni, Sinza, Mbezi, Kunduchi,
Maeneo mazuri ila yana mchanganyiko wa aina ya watu. Mitaa imechangamka na miundombinu ya barabara hujaa maji, madimbwi wakati wa mvua. Mitaa imepangika. Kuna maeneo yana uswahili (uchafu) na biashara zisizoeleweka. Starehe zipo za kutosha na makanisa na m
3. Tegeta, Goba, Kawe, Mbweni, Kigamboni, Tabata
Mitaa inaeleweka ila miundombinu ya barabara za mitaa ni changamoto. Mbweni kidogo inajitaidi. Bei ya nyumba siyo mbaya sana. Viwanja vipo vya kutosha. Maisha ni ya kawaida sana. Popoz zipo za kila aina na gharama tofauti tofauti.
3. Mbagala, Chanika, Gongolamboto, Vingunguti, Manzese
Uswahili umepitiliza, unaweza kuibiwa anytime. Wakaaji wengi ni informal hawana hata vitambulisho vya utaifa wowote. Viwanja vipo vya kutosha kwa gharama nafuu mnoo. Popoz za kutosha zina dalili ya kila aina ya magonjwa ya zinaa. Ni wale wa dizaini ya zima taa. Biashara zote zipo huku unauziwa hadi kucha za kuku zilizokaangwa.
In short: kazi bado mbichi kufikia maisha standard kwa kila mtanzania.
Wewe ongezea nyama-nyama kama sija capture vizuriKuna eneo umeliongelea hapo nimesikitika sana kwasababu sio kweli
Umetokea mkoa gani kwa sasa kabla haujaweka makazi ya kudumu Dar?
Umesema vyemaIn short: kazi bado mbichi kufikia maisha standard kwa kila mtanzania.
Ni kweli maisha masaki ni expensive ukilinganisha na maeneo mengine ya Dar. Au unataka ubishi tu we muha?Uliposema tu masaki maisha ghali nikajua background yako, watu wa type yako ni ngumu kuwa na mustawa mzur wa maisha mpaka wa safishe akili zao..!
Hujataja Ubungo,Kimara,Mbezi ya Kimara,Goba na Kibamba...Dar es salaam ilijulikana kama mji mkuu na makao makuu ya Tanzania. Ila kwa sasa serikali imeamia Dodoma ambayo ndiyo makao makuu ya nchi.
Shauku yangu ya kuizunguka Dar nzima ni katika harakati zangu za kutafuta wapi pa kuweka makazi yangu ya kudumu.
1. Masaki, Osterbay, Upanga, Msasani Peninsula
Ni eneo linalotaaaliwa na wageni na watu wenye uwezo mkubwa hivyo kufanya nyumba kuwa za gharama ya juu. Kuna miundombinu ya barabara na mitaa inaeleweka. Huduma ya maji na umeme zinapatikana kwa uhakika. Ila barabara zinahitaji kufanyiwa matengenezo. Imejitosheleza kwa huduma kama restaurants, maduka, lounges. Maisha ya usiku yako poa sana. Sema gharama kwenye restaurant nyingi.
2. Mikocheni, Kinondoni, Sinza, Mbezi, Kunduchi,
Maeneo mazuri ila yana mchanganyiko wa aina ya watu. Mitaa imechangamka na miundombinu ya barabara hujaa maji, madimbwi wakati wa mvua. Mitaa imepangika. Kuna maeneo yana uswahili (uchafu) na biashara zisizoeleweka. Starehe zipo za kutosha na makanisa na m
3. Tegeta, Goba, Kawe, Mbweni, Kigamboni, Tabata
Mitaa inaeleweka ila miundombinu ya barabara za mitaa ni changamoto. Mbweni kidogo inajitaidi. Bei ya nyumba siyo mbaya sana. Viwanja vipo vya kutosha. Maisha ni ya kawaida sana. Popoz zipo za kila aina na gharama tofauti tofauti.
3. Mbagala, Chanika, Gongolamboto, Vingunguti, Manzese
Uswahili umepitiliza, unaweza kuibiwa anytime. Wakaaji wengi ni informal hawana hata vitambulisho vya utaifa wowote. Viwanja vipo vya kutosha kwa gharama nafuu mnoo. Popoz za kutosha zina dalili ya kila aina ya magonjwa ya zinaa. Ni wale wa dizaini ya zima taa. Biashara zote zipo huku unauziwa hadi kucha za kuku zilizokaangwa.
In short: kazi bado mbichi kufikia maisha standard kwa kila mtanzania.
Sasa waha wamekukosea Nini mkuu 😂😂Ni kweli maisha masaki ni expensive ukilinganisha na maeneo mengine ya Dar. Au unataka ubishi tu we muha?
Lengo lako la kuzurura Dar yote na hitimisho lako haviendani.Dar es salaam ilijulikana kama mji mkuu na makao makuu ya Tanzania. Ila kwa sasa serikali imeamia Dodoma ambayo ndiyo makao makuu ya nchi.