Mwezi uliopita nilizunguka Dar es salaam yote, haya hapa maoni yangu

Hahaha unaweza kuta anazurura kuokota makopo ya plastic kwa ajili ya wachina akadhani kazunga Dar yote, sidhani kama unaijua Dar wewe.
 
Sample uliochukua umetumia formula gani kupata majibu ya mkoa mzima
 
Safari Bado ndefu na mifumo mibovu ya serikali ndio bhasi Tena kutoka hapa tulipo itachukuwa muda mrefu mpaka pale tutakapo amka usingizini.
 
Njoo zenji uje kuishi kwa amani kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…