Mwezi wa 6 na 7 (2021) ningekuwa na uwezo ningeifuta kwenye Calender

Regent

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2020
Posts
2,306
Reaction score
3,576
Mwezi unaofata wa 6 na 7 nataka uwishe fasta yaani kama ningekuwa na uwezo ningeli Edit Calender nifute mwezi wa 6 na 7.

Hivi wapi kuna Time Machine nifanye Time Travel From Today to August.
 
Mimi ningesogeza hiyo miezi mbele maana naona ikiidha miezi hiyo mwaka umekwisha na sijafanikiwa kwa chochote mwaka huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…