Mwezi wa Pili 2018 ni wa Neema kwa wafanyakazi

Mwezi wa Pili 2018 ni wa Neema kwa wafanyakazi

Walekese

Senior Member
Joined
Sep 28, 2016
Posts
149
Reaction score
102
Mwezi huu wa pili mwaka huu 2018 utakuwa ni mwema kwa wafanyakazi hasa mwishoni mwa mwezi. Hali itakuwa nzuri sana.

Tuingie kwenye maombi MUNGU atusaidie.
 
Unazingua wewe hii si alisema mwaka juzi?
 
Utashitakiwa kwa kugushi..[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
 
Sijui tunaweza kukopa kwa mangi ili nilipe kwa mshahara wa mwezi huu?
 
Mwezi huu ni utakuwa wa kipekee kwa watumishi
 
Back
Top Bottom