EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,719
Asante jamaa maana unaweza enda dukani kwa mpemba akakataa kukuuzia maji au sodaJiachie Chief,kila mmoja na Dini yake
Kwani uongo mkuu???Pia sitegemei sisi wafanya biashara wa Kitimoto tuathirike kipindi hiki maana watumiaji hatujafunga tukiona mabadiliko yoyote tutajua kuna watu walikuwa wanashirikiana na sisi.
Nimeanzia kusoma hapa ..ngoja nione mwisho utaishaje
Unakuta haelewi masharti ya Leseni yake ya BiasharaAsante jamaa maana unaweza enda dukani kwa mpemba akakataa kukuuzia maji au soda
KWELI AISEEUnakuta haelewi masharti ya Leseni yake ya Biashara
Washaanza kelele huko kwingine, tuspost vyakula mwezi huuHalafu utasikia waislam ni wadini sana mbona kipindi cha kwaresma wao hawakuanzisha thread Kama hizi
Lakini pia utambue Kuna mambo kwenu nyie wakristo hayawi dhambi lakini kwa wenzenu waislamu ni dhambi.Ni juzi tu 04.04.2021 Wakristo tulimaliza mfungo wa kwaresma....
Hawachelewi kulalama kama kawaida yao, halafu utashangaa wadada wanaotembea nusu uchi watapungua hapo ndio ujiulize ni akina nani wanavaaga hivyo??Moto ni uleule,mabando yenyewe yako juu halafu tupangiane matumizi...hapana asee
We jamaa bhana yaani nile kitimoto kwa siri?? kwanini kwa mfano kwani si analiwa 98% kwenye BAR sasa hao waislam watakuwa wanafanya nini maeneo hayo wakati pia pombe ni haramu??Lakini pia utambue Kuna mambo kwenu nyie wakristo hayawi dhambi lakini kwa wenzenu waislamu ni dhambi...
Hakuna tusi lolote hapoooUsianze matusi mkuu maana umefunga ujue au ni kobe?
Akili za kuongeza herufi mbele zinakufanya uonekane mtoto kiakiliHakunaa tusiii lolote hapooo
Yaani utadhani wamelazimishwa,na hata wizi na ujambazi pia huwa unapungua sana kipindi hiki,ndio wakati wa kuanika nguo usiku na asubuhi ukazikuta salama salmini...Hawachelewi kulalama kama kawaida yao, halafu utashangaa wadada wanaotembea nusu uchi watapungua hapo ndio ujiulize ni akina nani wanavaaga hivyo??
Una ugonjwa wa akili si bure. Yaani nitoe hela yangu mfukoni ninunue kitimoto halafu Nile kwa siri?Lakini pia utambue Kuna mambo kwenu nyie wakristo hayawi dhambi lakini kwa wenzenu waislamu ni dhambi...
Bar wanakuja kufanya nini wakati ni kharamuUna ugonjwa wa akili si bure. Yaani nitoe hela yangu mfukoni ninunue kitimoto halafu Nile kwa siri??