Huwa wanabadilisha ratiba ya kula na sio kufunga.Tuwe wakweli hawa jamaa hawafungi wamebadilisha ratiba ya kula tu,
imagine mtu anakula daku la nguvu saa10 alfajiri njaa ataisikia saa10 jioni sasa hapo kuna funga??
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] acha maskhara mkuu!!Hakuna kipindi kibaya cha biashara ya kitimoto kama hiki, nyama inadoda mabuchani
Kama umezoea kuuza kilo 5 kwa siku, sasa utauza kilo 2 kwa bahati.
Hivi Waislam hamuwezi kufuturia kitimoto Roast kama itachanganywa na tambi au viazi rojo?
Huyu anasubiri saa10 apige huo mzigo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huwa wanabadilisha ratiba ya kula na sio kufunga.
Baby pig pls come to us, we are craving of youView attachment 1752540
Anasubiri Saa 10 ya usiku au mchana maana hyo picha inaonekana mchana halafu kula ni Saa 12 jioni au umekosea kuandikaHuyu anasubiri saa10 apige huo mzigo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1752554
Samahani nnatoka nje ya Mada kuna kitu sijaelewa kuhusu hyo kwa resma Mimi nimuislam katika dini yetu kufunga mwez wa Ramadhan ni lazima na asilimia kubwa wanafunga na wasiofunga huwa hata kula kwao wanajificha sana lakini sijaelewa funga yenu ndugu zetu Christians je pia ni lazima au mtu akiamua tu mwenyewe kufunga akitaka hafungi.
Kwa mkristo huwezi fahamu huyu kafunga wala yule hajafunga.na pia sio lazima maana imani hailazimishwi. Hivyo mtu akifunga hatakiwi kujionyesha umefunga. Funga yako iwe yako kwa manufaa yako ili maombi yako yapate
Kwa mkristo huwezi fahamu huyu kafunga wala yule hajafunga.na pia sio lazima maana imani hailazimishwi. Hivyo mtu akifunga hatakiwi kujionyesha umefunga. Funga yako iwe yako kwa manufaa yako ili maombi yako yapate majibu
Nimeuliza funga yenu pia ni lazima au ukiamua kufunga au usifunge hyo funga ni Siri ya mtu inajulikana hata waislam pia ni Siri yako.Kwa mkristo huwezi fahamu huyu kafunga wala yule hajafunga.na pia sio lazima maana imani hailazimishwi. Hivyo mtu akifunga hatakiwi kujionyesha umefunga. Funga yako iwe yako kwa manufaa yako ili maombi yako yapate majibu
Nimeuliza funga yenu pia ni lazima au ukiamua kufunga au usifunge hyo funga ni Siri ya mtu inajulikana hata waislam pia ni Siri yako.
Hujanijibu km nilazima au sio lazima mbona hasira tena maana hata ww unaona ikiingia Ramadhan hata Muislam asiefunga humjui nakula kwa kujifichaficha Lakini kwa resma watu walikuwa kama kawaida tu unajua kabisaa Huyu Christians lakini mpo naye hotel tena ni asilimia kubwa ndio maana nikauliza funga yenu ni hiari au lazima nikujibu tu lazimaMkuu acha kukurupuka soma maelezo yote nimeandika sio lazima
Hujanijibu km nilazima au sio lazima mbona hasira tena maana hata ww unaona ikiingia Ramadhan hata Muislam asiefunga humjui nakula kwa kujifichaficha Lakini kwa resma watu walikuwa kama kawaida tu unajua kabisaa Huyu Christians lakini mpo naye hotel tena ni asilimia kubwa ndio maana nikauliza funga yenu ni hiari au lazima nikujibu tu lazima
OK basi dini yenu nzuri km mnajiamulia tu kufunga au msifungeAiseee wewe kijana hujui kusoma au? NIMESEMA SIO LAZIMA haya nimekuandikia kwa herufi kuwa ili uombe msaada kwa wanaojua kusoma. Malumbano ya nini ndugu?
OK basi dini yenu nzuri km mnajiamulia tu kufunga au msifunge
Kipi, futari au daku?Mungu akuongoze mana kuna unachokitafuta
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hehe mtu anaahirisha kula tu.....msosi wa asubuhi+mchana+usiku na wa kesho asubuhi tena ,unaliwa ndani ya masaa kadhaa ya usiku
Ndugu zangu wanafunga lakini ndo kipindi wanachonenepeana sana..inabidi nifanye research shule ya biochemistry na physiology ninayo.
Hivi mna nini nyie?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Tuwe wakweli hawa jamaa hawafungi wamebadilisha ratiba ya kula tu,
imagine mtu anakula daku la nguvu saa10 alfajiri njaa ataisikia saa10 jioni sasa hapo kuna funga??
Kama una Imani thabiti huwezi kukwazika,..WAislamu ni ndugu zetu, tuepuke kuwakwaza kipindi hiki cha mfungo wa mwezi mtukufu.