Ustadh tongwe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2020
- 789
- 2,061
Kwahyo unamsikiliza huyo muhuni mwenzio Petro au unamfuata yesu maana yesu hyo sheria kukataza kula nguruwe yesu hajaikataa iliendelea na agizo hilo limerudiwa katika kumbukumbu ya shariah 14:7-8 na pia isaya 66:17 na agano jipya amesema kuwa hakuja kutengua sheria na mafundisho ya manabii Bali kukamilisha mathayo 5:17 kwahyo yesu hakufuta sheria alizozikuta moja wapo ikiwa hyo ya kula nguruwe ambayo ilikuwa tangu agano la kale ndio aje huyo Msela alete sheria zakeWewe mtu ngoja nikusaidie soma [emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]
Matendo ya Mitume 11
5“Nilikuwa katika mji wa Yafa nikiomba, nami nikapitiwa na usingizi wa ghafula, nikaona maono. Kulikuwa na kitu kama nguo kubwa ikishuka kutoka mbinguni, ikishushwa kwa ncha zake nne, nayo ikanikaribia. 6Nilipoangalia ndani yake kwa karibu niliona wanyama wenye miguu minne wa nchini, wanyama wa mwitu, watambaao na ndege wa angani. 7Ndipo nikasikia sauti ikiniambia ‘Petro, ondoka uchinje na ule.’
8“Nikajibu, ‘La hasha Bwana! Kitu chochote kilicho najisi hakijaingia kinywani mwangu.’
9 “Sauti ikasema kutoka mbinguni mara ya pili, ‘Usikiite najisi kitu chochote Mungu alichokitakasa.’
Umeingia kwenye nchi umekuta na utamaduni wao fuata utamaduni uliyokuta kama unataka kula hadharani tanzania bara utakula mpk unye Hakuna atakaye kufuata heshimu sheria sehemu unapoenda.Mkuu nenda Zenji halafu wakuhisi unatafuna BAZOOKA utatembezewa kichapo kama mwizi
Naomba mstari YESU alipokataza kula [emoji200] usiniambie habari za MGERASI mwenye MAJINIKwahyo unamsikiliza huyo muhuni mwenzio Petro au unamfuata yesu maana yesu hyo sheria kukataza kula nguruwe yesu hajaikataa iliendelea na agizo hilo limerudiwa katika kumbukumbu ya shariah 14:7-8 na pia isaya 66:17 na agano jipya amesema kuwa hakuja kutengua sheria na mafundisho ya manabii Bali kukamilisha mathayo 5:17 kwahyo yesu hakufuta sheria alizozikuta moja wapo ikiwa hyo ya kula nguruwe ambayo ilikuwa tangu agano la kale ndio aje huyo Msela alete sheria zake
Niambie kama wazungu pia hawali kule hoteliniUmeingia kwenye nchi umekuta na utamaduni wao fuata utamaduni uliyokuta kama unataka kula hadharani tanzania bara utakula mpk unye Hakuna atakaye kufuata heshimu sheria sehemu unapoenda.
Sirudi kitu Mara mbiliNaomba mstari YESU alipokataza kula [emoji200] usiniambie habari za MGERASI mwenye MAJINI
Maana majini ni "WAISLAM" kwa kuwa Mudi aliwasilimisha wao hadi sheitwain
Hata znz ww ukila hotelini Hakuna atakaye kufuataNiambie kama wazungu pia hawali kule hotelini
Mkuu ngoja nikuambie kituKwahyo unamsikiliza huyo muhuni mwenzio Petro au unamfuata yesu maana yesu hyo sheria kukataza kula nguruwe yesu hajaikataa iliendelea na agizo hilo limerudiwa katika kumbukumbu ya shariah 14:7-8 na pia isaya 66:17 na agano jipya amesema kuwa hakuja kutengua sheria na mafundisho ya manabii Bali kukamilisha mathayo 5:17 kwahyo yesu hakufuta sheria alizozikuta moja wapo ikiwa hyo ya kula nguruwe ambayo ilikuwa tangu agano la kale ndio aje huyo Msela alete sheria zake
Hyo sheria inayokataza kula nguruwe ipo agano LA kale na yesu alivyokuja alisema hakuja kufuta sheria zilizokuwepo Kabla yake na sheria moja wapo ni hyo walawi 11:7-8Mkuu ngoja nikuambie kitu
Torati iliandikwa baada ya wana wa Israel walipotoka Misri kuja Kaanan wengi wao 99.999% walizaliwa njiani wakati wa safari watu wazima walikuwa Haruni na Joshua so kizazi chooooooooote kilizaliwa njiani so walikumbushwa sheria za baba zao.
Agano jipya lilikuja kutimiza mambo yaliyotabiriwa enzi za kale na sio sheria
Yesu hajawahi kuongelea kitimoto bhana si unipe mstari wenye matamshi ya Yesu???Hyo sheria inayokataza kula nguruwe ipo agano LA kale na yesu alivyokuja alisema hakuja kufuta sheria zilizokuwepo Kabla yake na sheria moja wapo ni hyo walawi 11:7-8
Yesu hajawahi kuongelea kitimoto bhana si unipe mstari wenye matamshi ya Yesu?
Endelea tu kula nguruwe maana unajitoa tu ufahamu nimekupa hadi Hayo ambazo zipo kwenye bibble ambazo zilikuwepo tangu agano LA kale na yesu akasema hakuja kutengua sheria zilizokuwepo kabla yake Bali kuzikamilisha na moja wapo ni hyo Hakuna kula nguruwe ni najisi unajifanya Huelewi,ww endelea kula nguruwe simmezoea kupinga vitabu vyenuYesu hajawahi kuongelea kitimoto bhana si unipe mstari wenye matamshi ya Yesu???
Yesu hajawahi kuongelea kitimoto bhana si unipe mstari wenye matamshi ya Yesu???
Uislam pamoja na kufuata kitabu kitakatifu cha Quran na Sunna za Mtume SAW pia kuna nguzo (sharia) tumewekewa ambazo nazo pia zimetajwa kwenye Quran. Na zipo kwa mpangilio kutokana na umuhimu wake wa kuzitekeleza kwa mpangilio huo.Hayo ni mawazo ya Papa Wala si maandiko yanenavyo.
Poleni Sana ndugu zangu kwa kushikiana bakora kufunga[emoji1787]
Safari ya Mbinguni ni ya mtu mmoja mmoja,na kila mtu anaguswa kwa namna Yake..acheni kufunga kinafiki.
Mmekwisha pata thawabu zenu.
Hamna izoo bhana.Mkuu nenda Zenji halafu wakuhisi unatafuna BAZOOKA utatembezewa kichapo kama mwizi
Kwani mi sijakupa mistari ya bible?? Haya nioe Quran?Endelea tu kula nguruwe maana unajitoa tu ufahamu nimekupa hadi Hayo ambazo zipo kwenye bibble ambazo zilikuwepo tangu agano LA kale na yesu akasema hakuja kutengua sheria zilizokuwepo kabla yake Bali kuzikamilisha na moja wapo ni hyo Hakuna kula nguruwe ni najisi unajifanya Huelewi,ww endelea kula nguruwe simmezoea kupinga vitabu vyenu
Huu ni uchokozi sasa kwa nini ukasema futari time.Futari timeView attachment 1752934
Juzi mmewazingua wazungu eti wasivae vipensiHamna izoo bhana.
Zenji imekuwa nchi ya wazungu siku hizi.
Uzuri tu kuwa wengi wa wakaazi wa huku washazoea tamaduni za huku hata kama Sio wazaliwa. So huwa kuna staha kwa mambo kama hayo pamoja na mavazi.
Binafsi nafanya kazi na wenzetu wakristo wametoka bara wana nguo zao special za kuvaa Ramadhan.
Na wanapohitaji kula wanakula kuna sehemu ndani wanakaa wanakula hata hatuwabughudhi.
Huku ukiskia mtu kapigwa Ramadhan basi labda awe kalewa na kufanya fujo
Okey suppose ni just sherehe huyu jamaa anaruhusiwa kuwa na hio kitu??Huu ni uchokozi sasa kwa nini ukasema futari time.
Au umekisudia ya kwaresma?
Kumbe huwa mnaanzisha nyuzi kama hizi makusudi ili kuleta sintofahamu eeh?
Vipensi vyenyewe kama hivi???
Asiruhusiwe kwa sababu gani?Okey suppose ni just sherehe huyu jamaa anaruhusiwa kuwa na hio kitu??
Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app