EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,719
- Thread starter
-
- #101
Good question,Asiruhusiwe kwa sababu gani?
Dini yake?
Mavazi yake?
Umri wake?
Au afya yake?
Na suppose dini yake inamkataza lkn yeye anafanya, so?
Ndio uta generalise kuwa waumini wote wanacheat kama anavyocheat huyo mzee?
Na suppose dini yake inamkataza lkn yeye anafanya, so?
Na mimi nimemzungumzia yeye na sio woteNa suppose dini yake inamkataza lkn yeye anafanya, so?
Ndio uta generalise kuwa waumini wote wanacheat kama anavyocheat huyo mzee?
Mkuu..you have my respect.Hamna izoo bhana.
Zenji imekuwa nchi ya wazungu siku hizi.
Uzuri tu kuwa wengi wa wakaazi wa huku washazoea tamaduni za huku hata kama Sio wazaliwa. So huwa kuna staha kwa mambo kama hayo pamoja na mavazi.
Binafsi nafanya kazi na wenzetu wakristo wametoka bara wana nguo zao special za kuvaa Ramadhan.
Na wanapohitaji kula wanakula kuna sehemu ndani wanakaa wanakula hata hatuwabughudhi.
Huku ukiskia mtu kapigwa Ramadhan basi labda awe kalewa na kufanya fujo
Mleta Hoja mwenye uzi anasema kila mtu afanye ibada zake bila kumshurutisha mwingineNa wanapohitaji kula wanakula kuna sehemu ndani wanakaa wanakula hata hatuwabughudhi.
[emoji120][emoji120]Uislam pamoja na kufuata kitabu kitakatifu cha Quran na Sunna za Mtume SAW pia kuna nguzo (sharia) tumewekewa ambazo nazo pia zimetajwa kwenye Quran. Na zipo kwa mpangilio kutokana na umuhimu wake wa kuzitekeleza kwa mpangilio huo.
1. Shahada
2. Kuswali
3. Kutoa Zakka
4. Kufunga mwezi wa Ramadhan
5. Kwenda Makka kuhiji kwa mwenye Kuweza
Na kila nguzo hapo imeelekezwa namna ya kuzitekeleza katika Quran.
Turudi kwenye hio ya nne yaani swaum.
Kuna aya inayosema Enyi Mlioamini mmefaradhishiwa kufunga kama walivyofaradhishiwa waliokuja kabla yenu ili mpate kumcha Mwenyezimungu.
Faradhi maana yake ni lazima. Hivyo kufunga kwa muislam mtu mzima mwenye akili timamu na mwenye afya nzuri lazima.
Ili mpate kumcha Mwenyezimungu (kwa nini? Kwa sababu Funga Ni kati ya mja na Mola wake) Anaweza mtu akajifanya kufunga mbele ya macho ya watu lakini akala au kunywa maji kwa kujificha. Hio ni khiari yake. Ila kwa mtu mwenye imaan kuwa atarudi kwa Mola wake na ataulizwa juu ya matendo yake na atahukumiwa na Mola wake basi anafunga ili kupata fadhila kama alivyoahidiwa na Mola wake. (Swaum ni baina ya mja na Mola wake)
Na aya hiohio iliendelea kueleza kuwa kwa mtu alie mgonjwa au yupo safafini basi Anaweza kuwacha kufunga na akaja mukamilisha (kulipa alizoziacha wakati ana dharura)
Pia kwa wajawazito, wanaonyonyesha pamoja na vikongwe wanaruhusiwa kutokufunga na kuja kulipa siku za mbele au kutoa fidia.
Faida za swaum kwa binaadam au kwa mwenye kuamini ni pamoja na kumcha MwenyeziMungu kwani unajizuia kula na kunywa pamoja na kulala na mkeo au mumeo wakati wa mcha ilhali una uwezo wa kufanya hayo lkn unaachana nayo kwa kutegemea malipo Ya kheri.
Pia tumeambiwa tufunge tupate afya. Funga inasaidia kuacha kula kula ovyo wakati mwengine pasi na uhitaji Hivyo basi unauepushia mwili na vitu vingi.
Funga pia inaweka usawa wa walio nacho na wasionacho kwani wote hukaa bila kula kwa masaa kadhaa na kufeel how hunger inakuwaje kwa wasio na chakula cha kutosha. Ndio maana inasisitizwa sana pia kutoa sadaka kwa wasiojiweza kwenye mwezi huu zaidi.
Kwa wanaokula kupitiliza linapozama jua hio haifai. Tunashauriwa kula kiasi tu kwani kuna ibada nyengine zinaendelea usiku kama kuswali taraweikh na tahajjud.
Na pia ni thawabu mtu kula daku karibia ya alfajiri japo maji na tende ili usiwe dhaifu kwani dini haimkalifishi mtu.
π€£ππ πSo na sasa mambo yawe yale yale msianze kutupa masharti ya nini cha kupost kwenye mitandao ya kijamii na nini sio cha kupost acha dunia iendelee kama miezi mingine, mambo ya mihemko acheni kabisa.
Pia sitegemei sisi wafanya biashara wa Kitimoto tuathirike kipindi hiki maana watumiaji hatujafunga tukiona mabadiliko yoyote tutajua kuna watu walikuwa wanashirikiana na sisi.
[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji23][emoji28][emoji38]
Ina maana akimla hadharani atawatamanisha au sioLakini pia utambue Kuna mambo kwenu nyie wakristo hayawi dhambi lakini kwa wenzenu waislamu ni dhambi
Mfano wenzenu waislamu kitimoto ni haramu kwao lakini nyie wakristo mnaruhusiwa kumla kitimoto,au kusema yesu ni mwana wa mungu ni sahihi kwa ninyi wakristo lakini wenzenu waislamu mungu wao hakuzaa wala hakuzaliwa na hana mwana
Sasa kwanini wewe uwawekee masharti watu wa dini nyingine?
Ushauri wangu kwako kama unatambua ustaarabu na unaheshimu dini ya mwenzio basi kwa nyakati kama hizi huyo kitimoto ni vyema ukawa unamla sirini na mengine ambayo unaona hayawapendezi waislamu hususani kwa nyakati hizi pia uyafanye sirini
Exactly [emoji1756][emoji1756]Mleta Hoja mwenye uzi anasema kila mtu afanye ibada zake bila kumshurutisha mwingine
Kwa Muktadha huo wewe funga usimlazimishe yeye ale kwa kujificha
Hawalazimishwi kula kwa kujificha. No wao wenyewe tu nao wanatuheshimu kwa sababu wanaona mwezi wa Ramadhan kuna kuwa kuna hali gani.Mleta Hoja mwenye uzi anasema kila mtu afanye ibada zake bila kumshurutisha mwingine
Kwa Muktadha huo wewe funga usimlazimishe yeye ale kwa kujificha
π π π πUna ugonjwa wa akili si bure. Yaani nitoe hela yangu mfukoni ninunue kitimoto halafu Nile kwa siri???
Nile kwa siri kwa sababu ya imani yako ambayo mimi siiamini?
Tusipangiane maisha...Hiyo hela umenitafutia wewe?
Kuna watu umewalenga wewe,sio bure.Kwani uongo mkuu???
Wasabato na waislam hawatumii so tuliobaki tunaendelea na ratiba zetu so rate ya biashara yangu itabaki constant
any drop in sales will spark........................... some questions
Unasema huyo kitimoto amlie sirini Ili asimtamanishe mwisilamu?Lakini pia utambue Kuna mambo kwenu nyie wakristo hayawi dhambi lakini kwa wenzenu waislamu ni dhambi
Mfano wenzenu waislamu kitimoto ni haramu kwao lakini nyie wakristo mnaruhusiwa kumla kitimoto,au kusema yesu ni mwana wa mungu ni sahihi kwa ninyi wakristo lakini wenzenu waislamu mungu wao hakuzaa wala hakuzaliwa na hana mwana
Sasa kwanini wewe uwawekee masharti watu wa dini nyingine?
Ushauri wangu kwako kama unatambua ustaarabu na unaheshimu dini ya mwenzio basi kwa nyakati kama hizi huyo kitimoto ni vyema ukawa unamla sirini na mengine ambayo unaona hayawapendezi waislamu hususani kwa nyakati hizi pia uyafanye sirini
Sasa wangeposti nini??. Maana kila wanachokula wao sisi Wakristo tunakula lkn Si kila tunachokula sisi Wakristo na wao wanakula Mfano Kitimoto,Sasa mtoa uzi anawatahadharisha kuwa isije ikatokea biashara yake ikadorora mwezi huu maana wanaofunga sio walaji Sasa kwanini biashara idorore?!!.Halafu utasikia waislam ni wadini sana mbona kipindi cha kwaresma wao hawakuanzisha thread Kama hizi
Kwani Waislamu wanaishi Karibu na Vibanda vya kuuzia kitimoto??Lakini pia utambue Kuna mambo kwenu nyie wakristo hayawi dhambi lakini kwa wenzenu waislamu ni dhambi
Mfano wenzenu waislamu kitimoto ni haramu kwao lakini nyie wakristo mnaruhusiwa kumla kitimoto,au kusema yesu ni mwana wa mungu ni sahihi kwa ninyi wakristo lakini wenzenu waislamu mungu wao hakuzaa wala hakuzaliwa na hana mwana
Sasa kwanini wewe uwawekee masharti watu wa dini nyingine?
Ushauri wangu kwako kama unatambua ustaarabu na unaheshimu dini ya mwenzio basi kwa nyakati kama hizi huyo kitimoto ni vyema ukawa unamla sirini na mengine ambayo unaona hayawapendezi waislamu hususani kwa nyakati hizi pia uyafanye sirini
Si ndo hapo?!!!.Hata mimi nashangaa.We jamaa bhana yaani nile kitimoto kwa siri?? kwanini kwa mfano kwani si analiwa 98% kwenye BAR sasa hao waislam watakuwa wanafanya nini maeneo hayo wakati pia pombe ni haramu??