EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,719
- Thread starter
-
- #141
We jamaa hawa watu wanageuza usiku kuwa mchana, wakifuturu wanakula hadi saa10 hapo mtu kashindilia kila kitu plus BIA, SIGARA other HARAM..SHahahahahaha nmecheka hapo kwenye usiku kucha wanakula
Sawaa, mahangaiko ya Nini?We jamaa hawa watu wanageuza usiku kuwa mchana, wakifuturu wanakula hadi saa10 hapo mtu kashindilia kila kitu plus BIA, SIGARA other HARAM..S
Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
Ni juzi tu 04.04.2021 Wakristo tulimaliza mfungo wa kwaresma
Tokea Kwaresma inaanza hadi inaisha hatujawahi kuwapangia watu (dini yoyote) ni vitu gani wapost kwakuwa sisi tupo kwenye mfungo.
So na sasa mambo yawe yale yale msianze kutupa masharti ya nini cha kupost kwenye mitandao ya kijamii na nini sio cha kupost acha dunia iendelee kama miezi mingine, mambo ya mihemko acheni kabisa.
Pia sitegemei sisi wafanya biashara wa Kitimoto tuathirike kipindi hiki maana watumiaji hatujafunga tukiona mabadiliko yoyote tutajua kuna watu walikuwa wanashirikiana na sisi.
Nimemaliza
Yaani utadhani wamelazimishwa,na hata wizi na ujambazi pia huwa unapungua sana kipindi hiki,ndio wakati wa kuanika nguo usiku na asubuhi ukazikuta salama salmini...
Sasa amle kwa siri kwanini? Kwani wewe unalazimishwa kumla kisa ameliwa hadharani?
Yaani niwe maeneo yangu ya kujidai mtu anipangie chocho la kujificha
OK basi dini yenu nzuri km mnajiamulia tu kufunga au msifunge
Makundi yoooote ya KIGAID ni yenu unabishaaaaaWewe mama kuwa na busara/hekma unachokiongea, na muogope Mungu.
Kwahiyo unataka kutuambia uhalifu unaofanywa na wezi/majambazi wahusika wakuu ni waislamu??? Unaweza kutuletea ushahidi???
Msinisumbue wakati nakula msosi wangu biashara yakujificha kina niogopa mwezi ife!!Mimi nahisi wewe ndio unahitaji kuwa na uvumilivu mana usingelikuja na kiherehere hicho. Wivu unakusumbua kijana fanya yako ya wenzio achana nayo
Mkuu hapa Kazini tunapiga msosi mbele ya waislamu tena Maustaadhi na maustadhat sio wewe kapuku maamumaWewe kama ni kidume kweli, jaribi kumla mbele ya waislamu, humu mnaongea kwa kujigamba na kutunisha misuli, sasa jaribuni kufanya kweli muone kitakachowapata.
Mkuu umeongea kwa busara saana, nikutakie swaumu njemaImani ni kitu kipana sana, Waislam wala tusikasirike wala tusishawishike wala tusiwe watamanifu na wala tusiwe wepesi wa kuchukua hatua mikononi mwetu tunapojaribiwa na watu kwa makusudi, cha kufanya ni kujizuia tu. Binafsi mtu hata akila usoni kwangu wala siwezi kutamani.
Hii pia haiwapi fursa wasio waislam kuwafanyia fujo, mizaha au majaribu waislam pale wanapokuwa wamefunga. Kiufupi ni kwamba tuheshimiane na tustahiane kama Watanzania.
Leo hii mimi Muislam nikienda Mbeya siwezi kukataza watu wa Mbeya wasile kitimoto au wasile nje mchana wa Ramadhan bali nitawastahi na kuheshimu utamani wao nilioukuta, basi na iwe hivyo hivyo wewe nae usiekuwa Muislam siku ukienda Zanzibar au kwenye Mji wenye mkusanyiko mkubwa wa Waislam, wastahi wenyeji wako, lakini pia stahi na kuheshimu utamaduni wao uliowakuta nao. Sisi ni Watanzania bana, tusivunjiane staha wakati tukistahiana kila mmoja anaweza kufata imani yake bila kumkwaza wa imani nyingine kwa vile tu amestahi imani yake.
[emoji120][emoji120][emoji120]
Hivi haya mnayoyaandika huwa mmefanya utafiti au ni stori tu za mitaani? Mwizi hana dini mzee,Yaani utadhani wamelazimishwa,na hata wizi na ujambazi pia huwa unapungua sana kipindi hiki,ndio wakati wa kuanika nguo usiku na asubuhi ukazikuta salama salmini...
Huu uzi pia ni mzaha kwa waislam ila kwakuwa JF ni ya wasio waislam hutaona wakifanya chochote ndio maana naona mods ni wapumbavu tuImani ni kitu kipana sana, Waislam wala tusikasirike wala tusishawishike wala tusiwe watamanifu na wala tusiwe wepesi wa kuchukua hatua mikononi mwetu tunapojaribiwa na watu kwa makusudi, cha kufanya ni kujizuia tu. Binafsi mtu hata akila usoni kwangu wala siwezi kutamani.
Hii pia haiwapi fursa wasio waislam kuwafanyia fujo, mizaha au majaribu waislam pale wanapokuwa wamefunga. Kiufupi ni kwamba tuheshimiane na tustahiane kama Watanzania.
Leo hii mimi Muislam nikienda Mbeya siwezi kukataza watu wa Mbeya wasile kitimoto au wasile nje mchana wa Ramadhan bali nitawastahi na kuheshimu utamani wao nilioukuta, basi na iwe hivyo hivyo wewe nae usiekuwa Muislam siku ukienda Zanzibar au kwenye Mji wenye mkusanyiko mkubwa wa Waislam, wastahi wenyeji wako, lakini pia stahi na kuheshimu utamaduni wao uliowakuta nao. Sisi ni Watanzania bana, tusivunjiane staha wakati tukistahiana kila mmoja anaweza kufata imani yake bila kumkwaza wa imani nyingine kwa vile tu amestahi imani yake.
[emoji120][emoji120][emoji120]
Kwani wapi wanakula kitimoto hadharani? Kinapikwa na kuliwa sehemu zile zile kila siku.Lakini pia utambue Kuna mambo kwenu nyie wakristo hayawi dhambi lakini kwa wenzenu waislamu ni dhambi
Mfano wenzenu waislamu kitimoto ni haramu kwao lakini nyie wakristo mnaruhusiwa kumla kitimoto,au kusema yesu ni mwana wa mungu ni sahihi kwa ninyi wakristo lakini wenzenu waislamu mungu wao hakuzaa wala hakuzaliwa na hana mwana
Sasa kwanini wewe uwawekee masharti watu wa dini nyingine?
Ushauri wangu kwako kama unatambua ustaarabu na unaheshimu dini ya mwenzio basi kwa nyakati kama hizi huyo kitimoto ni vyema ukawa unamla sirini na mengine ambayo unaona hayawapendezi waislamu hususani kwa nyakati hizi pia uyafanye sirini
Makundi yoooote ya KIGAID ni yenu unabishaaaaa
Sasa hapa mmedhalilishwa nini ndugu?
Kufunga hakuhusishi chakula pekee ambako ni kuutesa mwili kwa namna fulani unaweza kufunga kwa kuacha yale matendo maovu na kuzidisha matendo mema kwa jamii yako so kufunga siyo lazima ushinde njaa.Samahani nnatoka nje ya Mada kuna kitu sijaelewa kuhusu hyo kwa resma Mimi nimuislam katika dini yetu kufunga mwez wa Ramadhan ni lazima na asilimia kubwa wanafunga na wasiofunga huwa hata kula kwao wanajificha sana lakini sijaelewa funga yenu ndugu zetu Christians je pia ni lazima au mtu akiamua tu mwenyewe kufunga akitaka hafungi.
😂😂😂😂Aise.Makundi yoooote ya KIGAID ni yenu unabishaaaaa