Mwezi wa Saba umefika, Watumishi wategemee ongezeko la mshahara au increament?

Mwezi wa Saba umefika, Watumishi wategemee ongezeko la mshahara au increament?

Mzee Ngonyani

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
1,049
Reaction score
2,242
Imekuwa kama utaratibu kwa serikali kuongeza mshahara mwezi wa Saba, watumishi wana tashwishi ya kujua kama kuna ongezeko au wasubiri increament wadau mlioko jikoni mtujuze.

Kazi iendelee
 
Barua yako ya kupanda cheo inaonyesha ongezeko lako
 
Utapata zote mkuu, anza kuweka mipango kabisa
 
Kwanza tuambie tofauti kati ya ongezoko la mshahara kwa lugha ya bepari alafu umalizie kwa kibantu
 
Mbona naona kama umeandika "please nipigie  tafadhali"...🤔
 
Wadau namaanisha mshahara unaongezeka KUTOKANA na maamuzi ya rais harafu increament nl lile ongezeko la kisheria la Kila mwaka kulingana na ngazi yako ya mdhahara. Naamini nitakuwa nimeeleweka
 
Wategemee wizara zipewe wawekezaji toka Dubai.
Viongozi watanzania wameaminishwa na waarabu kwamba watanzania hawana wanachoweza ndio maana kila sekta inagawiwa kwa waarabu kwa Bei ya kutupa.
Kuanzia Loliondo,
Mpaka bandari zote, nenda ngorongoro ambàko wazawa wameanza kuhamishwa, njoo misitu ( eti tuna ubia na waarabu kwenye misitu. Just imagine)
 
Hiyo stutory annual increment yenyewe mtumishi atalipwa kadri ya daraja lake lakini nyongeza ambayo ipo kwa ajili ya kuikabili inflation mh Rais ataamua awape ili kupunguza makali ya maisha au muendelee kuisoma namba kama enzi za mwendazake!
 
Back
Top Bottom