NUUMA BAKUNYA
Member
- Feb 19, 2013
- 23
- 1
tamisemi mbona kimyatoweni jibu la mwisho kama ajira ya ualimu awamu ya pili aitakuwepo watu wajue la kufanya kuliko kukaaa wamesubilia
tamisemi mbona kimyatoweni jibu la mwisho kama ajira ya ualimu awamu ya pili aitakuwepo watu wajue la kufanya kuliko kukaaa wamesubilia
Nakumbuka kuna mtu nsha wahi kumjuza humu nafikiri ulikuwa mwezi wa nne kuwa ndugu walimu mlio kosa post fanyeni taratibu za kutafuta private coz hakutakuwa na awamu wa piki kwa mwaka huu coz hakuna pesa kwa sasa ,,hata wadogo zenu wapo mafunzo kwa vitendo baadhi pesa hawajapewa zaidi ya elfu kumi na tatu wanazo roa wanapo jiunga na mafunzo. Walimu wetu poleni lakini ukweli wizara haina pesa kwa sasa.
Kwan hukuckia jb la wazir jana?
Kwan hukuckia jb la wazir jana?
jaman mm n mhanga naibu wazr nilimfuata leo dom jion kaniambia kuanzia kesho-15/5 k2 knatoka mana namba za wabunge zpo
jaman mm n mhanga naibu wazr nilimfuata leo dom jion kaniambia kuanzia kesho-15/5 k2 knatoka mana namba za wabunge zpo