Hoja yako inagusa hisia za kila anayeipitia, lakini ipe data za kutosha ili iweze kujadilika! Mfano aina ya gari, waathirika wameathirikaje n.k ili ushauri utolewe!Jamani naombakujulishwa, hivi huyu mwekezaji wa kitalii anaejiita Mwiba HoldingsLimited aliemhonga mkuu wa wilayaya Meatu gari lenye namba T 147 ASX ni mzawa au ni mwekezaji kutoka nje? Maanainasikitisha sana kuona wananchi wazawa wananyanyasika katika ardhi ambayomababu zetu waliipigania kufa na kupona lakini mtu mwingine anaendelea kunemeka kupitia mgongo wa walalahoi inauma sana. Na pia inasikitisha sana hivi mbunge wa hawa wananchi yupo wapi au yeye anaonekana siku ya kupigiwa kura tu.
Jamani naombakujulishwa, hivi huyu mwekezaji wa kitalii anaejiita Mwiba HoldingsLimited aliemhonga mkuu wa wilayaya Meatu gari lenye namba T 147 ASX ni mzawa au ni mwekezaji kutoka nje? Maanainasikitisha sana kuona wananchi wazawa wananyanyasika katika ardhi ambayomababu zetu waliipigania kufa na kupona lakini mtu mwingine anaendelea kunemeka kupitia mgongo wa walalahoi inauma sana. Na pia inasikitisha sana hivi mbunge wa hawa wananchi yupo wapi au yeye anaonekana siku ya kupigiwa kura tu.
Bornagain, usiwe mvivu, just google Mwiba Holding utapata kila kitu, ila kwa kukusaidia tuu, hiyo ni kampuni inamilikiwa na kujana mzawa wa Kitanzania, Nyaga Mawalla, ambaye ni wakili hapo Arusha. Kijana ni very bright na very inteligent, hivyo umiliki wa maeneo mbalimbali na vitegauchumi vyake ndio ukombozi wa kweli wa wakazi wa maeneo hayo. Tatizo Watanzania wengi ni watu wa majungu, fitna, zengwe, uwongo na mawivu kibao kwanini yeye?!. Mali akimiliki mzungu au mhindi huwa ni poa tuu, ila akimiliki mswahili mwenzetu ni nongwa!.Jamani naombakujulishwa, hivi huyu mwekezaji wa kitalii anaejiita Mwiba HoldingsLimited aliemhonga mkuu wa wilayaya Meatu gari lenye namba T 147 ASX ni mzawa au ni mwekezaji kutoka nje? Maanainasikitisha sana kuona wananchi wazawa wananyanyasika katika ardhi ambayomababu zetu waliipigania kufa na kupona lakini mtu mwingine anaendelea kunemeka kupitia mgongo wa walalahoi inauma sana. Na pia inasikitisha sana hivi mbunge wa hawa wananchi yupo wapi au yeye anaonekana siku ya kupigiwa kura tu.
Umeskia waziri mkuu amewapa siku ngapi hawa wawekezaji? Amewapa siku saba wajisafishe la sivo hati yao ya uwekezaji inafutwa mara mojaKabla hujapost tuhuma hapa hebu fanya uchunguzi kidogo uelewe na upate taarifa sahihi ndo uje hapa na tuhuma hivi
Kuna sheria na kanuni ambazo ziko wazi kabisa ambazo huyo mbunge unayemsema alishiriki kuzitengeneza
Hifadhi ya jamii ya makao wilayani meatu iko pale kisheria na ilianzishwa kwa mujibu wa sheria na kanuni
Hao wanaolalamika kuwa wanahamishwa kwenye ardhi ya mababu kasome pia hiyo hifandi ilianzishwaje na kwa nini now wanahamishwa
Hiyo tuhuma ya mkuu wa wilaya anaweza kukushtaki iwapo hutakuwa na ushahidi wa kuthibitisha madai yako. Na kama una evidence za kutosha pccb wapo kukusaidia zaidi
Usimtuhumu mtu iwapo huna ushahidi kuthibitisha madai yako