Mwigizaji Elizabeth Michael "Lulu" akijiandaa kuanza kujibu mashtaka kesi ya kudaiwa kumuua mwigizaji Steven Kanumba

FunMania

Member
Joined
Oct 23, 2017
Posts
9
Reaction score
2
Mwigizaji Elizabeth Michael "Lulu" akijiandaa kuanza kujibu mashtaka katika kesi ya kudaiwa kumuua bila kukusudia mwigizaji Steven Kanumba.

Msanii Lulu Asema Kanumba Akiwa kalewa anampiga Sana.

Du, hataree! Lakini kalianza haya mambo kakiwa kadogo na huyo jamaa alikosea kukaingiza katika memories mbaya kama hizi!
 
Mwigizaji Elizabeth Michael "Lulu" akijiandaa kuanza kujibu mashtaka katika kesi ya kudaiwa kumuua bila kukusudia mwigizaji Steven Kanumba.

Msanii Lulu Asema Kanumba Akiwa kalewa anampiga Sana.

Makablasha ya nini wakati anajua what kilichotokea ndani ya kile chumba.
 
Mhmm sina hamu na mahamaka.

Hapo ukifyatuka huamini machoyako kamakweli upo huru.
Maana wakatiwote ukikumbuka tarehe ya kesi moyo unalipuka.
 
Shahidi wote wa kesi hiyo hakuna aliyeshuhudia akitenda hilo, huyo ndugu yake aliitwa baada ya kujiri tukio. Hakuona akitenda, hapo wazi anaongea kwa kukisia.

Halafu sijawahi kuona mtu aliyejigonga kisogoni atokwe povu mdomoni, ndiyo nasikia hapo sasa
 
Mwigizaji Elizabeth Michael "Lulu" akijiandaa kuanza kujibu mashtaka katika kesi ya kudaiwa kumuua bila kukusudia mwigizaji Steven Kanumba.

Msanii Lulu Asema Kanumba Akiwa kalewa anampiga Sana.

MOTO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…