Mwigizaji kutoka Nigeria Aki ausifia wimbo wa Salome wa Diamond platnums

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,279
Mwigizaji mwenye manjonjo ya kipekee Chinedu Akedieze au kwa jina maarufu Aki ameonesha mapenzi ya hali ya juu kwa kuusifia wimbo wa diamond platinum uitwao Salome


Aki kupitia akaunti yake ya insta ameandika maneno haya






 
Hapo ndo unapojua watanzania tumejikita kwenye insta zaidi, AKI ana followers 106,000 wakati Tiffah ana 860,000+
tehteh...so Tiffah anakaribiana Tristan Thompson ilihali hata hatambui kama ana account?
 
Wa nigeria wanapenda vile anavyowatangazia tamaduni yao bila ye mwenyewe kujua
 
Hapo ndo unapojua watanzania tumejikita kwenye insta zaidi, AKI ana followers 106,000 wakati Tiffah ana 860,000+
Ungemalizia "wakati Nigeria wana ahueni kiuchumi (assuming wengi wanamiliki simu) ukilinganisha na sisi na huku ikiwa na population karibu mara 4 ya Tanzania!

Nimefungua a/c y Instagram kwa project ambayo haijaanza lakini watu washaanza kui-follow wakati sijaitangaza hata kidogo! And remember, mimi sio mchangiaji wa Instagram
 

Mkuu swala la ahueni kiuchumi kwa Nigeria sina uhakika nalo, ila sisi tuko busy sana na vitu ambavyo siyo vya msingi sana.
 
Mkuu swala la ahueni kiuchumi kwa Nigeria sina uhakika nalo, ila sisi tuko busy sana na vitu ambavyo siyo vya msingi sana.
Angalau kwa uchumi wa kwenye makaratasi; wako vizuri kuliko sisi tena wakituacha kwa mbali!! Sie bhana tunapenda sana haya mambo na ndio maana iwe Facebook au Instagram; nini Followers... yaani hata ku-comment tunashindana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…