Mwigizaji Meya: Asikuambie mtu, ndoa tamu jamani

Mwigizaji Meya: Asikuambie mtu, ndoa tamu jamani

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598
index.jpeg

MWIGIZAJI na mchekeshaji wa Filamu Bongo, Meya Shaabani amesema kabla ya kuingia katika ndoa aliichukulia poa, lakini kwa sasa anaona utamu wake na kumfanya afurahie maisha.

Meya alisema maisha anayoishi kwa sasa ni ya furaha na amani tofauti na enzi za uselana hiyo imetokana na kuoa mke anayefanana naye na kupendana kila siku upendo ukitawala katika nyumba na kuwa sehemu ya baraka za kazi zake.

“Kwangu maisha ya ndoa ni matamu sana kwani mtu niliyeoana naye tunafanana kwa vitu vingi na kujikuta tukiishi maisha ya burudani na amani, huku tukifurahia zawadi mtoto wetu Tariq na kuwa wazazi bora,” alisema Meya.

Meya aliyeoana na Amina Shaaban alisema kwa namna maisha ya ndoa yalivyo matamu hafikirii kabisa kuchepuka kwa sababu kwanza sio dili, pia mkewe ni tulizo lake na kila kitu kwake kwa sasa kipo tambarare tangu awe kwenye ndoa.
⁠⁠⁠⁠
 
Tunasubiri yatakapoanza malumbano atupatie mrejesho pia.Ngoja aichoke papuchi maana hakuna kinachofanya ndoa kuwa tamu zaidi ya papuchi iliyo bora
 
Kuolewa na watu wafupi ni kipaji
Kwa tunaopenda wanaume warefu hapa kwetu hili ni janga
 
Afadhali wapo wanaosimulia mema ya ndoa
 
Back
Top Bottom