TANZIA Mwigizaji nguli wa Nollywood, Amaechi Muonagor afariki dunia kwa ugonjwa wa figo

Hivi kwanini wanaume tu ndo tuna ndei kwa figo na sukari?
 
Nollywood imekumbwa na vifo vya mastaa wao kwa siku za karibuni.
Pole kwa wafiwa!!

Anyway, kuna mtu anaweza akawa amepata safari ya kuelekea Nigeria kwa kisingizio cha msiba!!
Kwanini mtu aende huko kwa kusingizia msiba. Msiba haupo? Au wa kwetu hawasitahili kwenda msibani?
 
Masikini, apumzike kwa amani .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…