Mwigizaji nyota wa Bollywood Shashi Kapoor afariki dunia

Huwa wanachekesha sana hawa wazee kwenye filam zao, huwa nkitoka job na stress naweka star gold kwa wale wa azam chanel 800 nakula kuch kuchi mpaka moja jionivbichwa limepoa, r.i.p
 
Naombeni msaada wenu wakuu.
Natafuta sana movie za Kihindi za zamani (1940-2000) zenye good quality na subtitles za Kiingereza.
Nimejaribu kuzitafuta naona nakwama. Uungwana na kuomba msaada kwa wanaojua/fahamu wapi naweza zipata.
Huku mitandaoni hakuna good quality sana (Youtube zimejaa lakini hazina Subtitles)
Msaada mwenye kujua anijuze nawapata wapi wadosi wangu wa kitambo kina Amitabh Bachchan, Dharmendra, Sunny Deol na wengineo watabe orijinali.
 
Nenda kariakoo utazipata kuna duka moja liko ilala pia linauza
 
NADHANI NI FAKE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…