Mwigulu: Acheni ubingwa wa kuorodhesha matatizo

Daah! Mwigulu kamdharau sana huyu mama. Waziri wa fedha anampa promise rais kwamba wizara ya fedha iko na wewe na itaendelea kuzisimamia taasi zote zinazokusaidia kutatua matatizo ya watanzania!!?

Is Mwigulu seriously talking or mocking the president? Hayo mataasisi na wanaoyaongoza pamoja na Mwigulu mwenyewe si wameteuliwa na mama?

Hizo fedha anazozimamia Mwigulu si zimetsfutwa na mama kwenye mikopo na tozo? Sasa kwann mama aahidiwe na mwanawe anayemhangaikia?
 
Huyu bingwa kafanya deni la taifa kufikia Trillions 70 - yaani kila mtanzania leo 27/11/2022 anadaiwa Tshs. 1,167,000.

Hadi Aprili 2022, deni la Serikali lilikuwa shilingi trilioni 69.44 ikilinganishwa na shilingi trilioni 60.72 kipindi kama hicho mwaka 2021, sawa na ongezeko la asilimia 14.4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…