Mwigulu awahakikishia Mabalozi kuwa Serikali iko katika hatua za kupunguza viwango vya kodi zinazotozwa

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
4,016
Reaction score
6,759
Waziri wa Fedha Mh Mwigulu Nchemba amewahakikishia Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini na Jumuiya ya Kimataifa kwamba Serikali iko katika hatua za kupunguza viwango vya kodi zinazotozwa ili kusisimua uchumi na kuondoa malalamiko yaliyotolewa na jumuiya hiyo.
 
Waziri wa Fedha Mh Mwigulu Nchemba amewahakikishia Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini na Jumuiya ya Kimataifa kwamba serikali iko katika hatua za kupunguza viwango vya kodi zinazotozwa ili kusisimua uchumi na kuondoa malalamiko yaliyotolewa na jumuiya hiyo
Tunataka kodi ya uzalendo ,Tshs 2000, kwenye kila bili za maji. Hao mabeberu watuache.
 
Waziri wa Fedha Mh Mwigulu Nchemba amewahakikishia Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini na Jumuiya ya Kimataifa kwamba serikali iko katika hatua za kupunguza viwango vya kodi zinazotozwa ili kusisimua uchumi na kuondoa malalamiko yaliyotolewa na jumuiya hiyo
ccm wapunguze kodi nitakunya kuanzia dar mpaka Moro
 
Waziri wa Fedha Mh Mwigulu Nchemba amewahakikishia Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini na Jumuiya ya Kimataifa kwamba serikali iko katika hatua za kupunguza viwango vya kodi zinazotozwa ili kusisimua uchumi na kuondoa malalamiko yaliyotolewa na jumuiya hiyo
Waziri mbovu kabisa kuwahi kutokea
 
Wanasiasa wetu hasa mwigulu akisema ndiyo amaanisha hapana. Mtu una mpaka kodi ya mshikamano,kodi ya uzalendo?Ina maana uzalendo watozwa kodi?sijawahi sikia nchi inayotoza kodi ya kitu kimoja mara mbili.
 
Waziri wa Fedha Mh Mwigulu Nchemba amewahakikishia Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini na Jumuiya ya Kimataifa kwamba Serikali iko katika hatua za kupunguza viwango vya kodi zinazotozwa ili kusisimua uchumi na kuondoa malalamiko yaliyotolewa na jumuiya hiyo.
Huyu ni kama meko.
Yaani katiba mpya ndio italiokoa hili taifa.
Mwigulu ni poyoyo sifuri kabisa.
Meko pure anaongea hili anafanya kile

Anaongeza kodi ya uzalendo alafu anawadanyanya mabalozi kuwa anaounguza kodi . Staili ZA meko hizi
 
Back
Top Bottom