Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Tunataka kodi ya uzalendo ,Tshs 2000, kwenye kila bili za maji. Hao mabeberu watuache.Waziri wa Fedha Mh Mwigulu Nchemba amewahakikishia Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini na Jumuiya ya Kimataifa kwamba serikali iko katika hatua za kupunguza viwango vya kodi zinazotozwa ili kusisimua uchumi na kuondoa malalamiko yaliyotolewa na jumuiya hiyo
... VAT iongezeke hadi 30% kwa miaka miwili ili kumalizia miradi iliyoachwa na kipenzi chetu; tumuenzi shujaa na mzalendo #1.Tunataka kodi ya uzalendo ,Tshs 2000, kwenye kila bili za maji. Hao mabeberu watuache.
ccm wapunguze kodi nitakunya kuanzia dar mpaka MoroWaziri wa Fedha Mh Mwigulu Nchemba amewahakikishia Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini na Jumuiya ya Kimataifa kwamba serikali iko katika hatua za kupunguza viwango vya kodi zinazotozwa ili kusisimua uchumi na kuondoa malalamiko yaliyotolewa na jumuiya hiyo
Waziri mbovu kabisa kuwahi kutokeaWaziri wa Fedha Mh Mwigulu Nchemba amewahakikishia Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini na Jumuiya ya Kimataifa kwamba serikali iko katika hatua za kupunguza viwango vya kodi zinazotozwa ili kusisimua uchumi na kuondoa malalamiko yaliyotolewa na jumuiya hiyo
Link ipo kwenye bioUshahidi uko wapi?
Ila kutuongezea sisi Kodi kwenye bidhaa muhimu hiyo ni sawa?Kama ni kweli ni jambo jema sana, maana itavutia wawekezaji wengi,
Ile siyo kodi ila unachangia, kama unavyochangia ile ya REA..Ila kutuongezea sisi Kodi kwenye bidhaa muhimu hiyo ni sawa?
Waziri mbovu kabisa kuwahi kutokea
Takataka mchumi. Degree za kuhongahuyu mchumi wa kwenye majabali ni muongo-muongo sana aisee.
Wote wapo sawa ni makanjanjaKuliko Dk Gwajima
Huyu ni kama meko.Waziri wa Fedha Mh Mwigulu Nchemba amewahakikishia Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini na Jumuiya ya Kimataifa kwamba Serikali iko katika hatua za kupunguza viwango vya kodi zinazotozwa ili kusisimua uchumi na kuondoa malalamiko yaliyotolewa na jumuiya hiyo.