HAPPY SIMBA DAY
Mnajua mimi sio mwanasimba; Lakini buana,
1) Simba wameasisi hii mambo ya Matamasha ya Vilabu- hili ni jambo zuri.
2) Wameset viwango vya mechi na mafanikio Kimataifa na Mimi ni Shabiki wa SIMBA ya Kimataifa.
3) Simba haipati tabu kujaza uwanja iwe tamasha au mechi ya kimataifa.
USIMCHUKIE MTU KWA KUFANIKIWA.
SIMBA NGUVU MOYA!!!!!
*****
Nionavyo mimi ni namna ya Mwigulu kuanza kutafuta uungwaji mkono kuyoka kwa nashabiki wa Simba kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao.
Mwigulu ni mwanayanga kindakindaki hii ya kuwatakia Simba heri na kuonesha kwamba wanaset standard ni namna ya kujipenyeza ili awe karibu nao kuwaonesha kuwa anawajali pia.
Tangu lini kawatakia heri huyu Mwigulu etinanajidai yeye ni shabiki wa Somba ya Kimataifa, hakuna kitu kama hicho anatafuta uungwaji mkono tu kuelekea uchaguzi.
Pia soma:LIVE - Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025