StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Tupe link ya video tuwasikilize hao wakina Mange!View attachment 3669191
Dada Mange na Dada Maria wameendelea kuandika kwamba Mwigulu hatakiwi kabisa kuvuka kuelekea 2030.
Lakini nyuma ya kauli hizo kuna swali kubwa zaidi:
Kwa nini jina la Mwigulu linaonekana kuwapa baadhi ya watu hofu kubwa kiasi hiki?
Taarifa zinazozunguka kwenye duru za kisiasa zinadai kwamba kuna kundi lenye ushawishi ambalo limeanza kumuona Mwigulu kama “Magufuli mpya” — mtu mwenye msimamo mkali, asiye rahisi kushawishika wala kushirikishwa kwenye deals na ambaye, kwa mtazamo wao, akipewa nafasi kubwa zaidi anaweza kubadilika kabisa na kuwa Magufuli kamili au Zaidi.
Inadaiwa kwamba katika baadhi ya mazungumzo, hofu kubwa imekuwa kwamba Mwigulu akifika juu zaidi, mapambano dhidi ya ufisadi na watu wanaotuhumiwa kutumia vibaya madaraka yanaweza kuwa makali zaidi.
Ndiyo maana, kwa mujibu wa madai hayo, kuna wanaoamini kwamba Mwigulu anatakiwa kudhibitiwa kisiasa, kupuuzwa au “kupotezwa kwenye siasa mapema” kabla hajawa na nguvu zaidi.
Na hapa ndipo kauli za Mange kuhusu kile anachokiita “tabia za U-Magufuli” zinapata uzito mwingine.
Kama kweli kuna watu wanaona Mwigulu kama tishio la kisiasa kwa sababu ya msimamo wake, basi swali si tena:
“Mwigulu atafika 2030?”
Bali:
“NI NANI ANAOGOPA MWIGULU KUFIKA 2030 — NA KWA NINI?”
Moto umewaka.
Rubbish...huyu mbwa mwizi mkubwa na mtu aliyeshabikia mauaji ya Watanganyika....Taarifa zinazozunguka kwenye duru za kisiasa zinadai kwamba kuna kundi lenye ushawishi ambalo limeanza kumuona Mwigulu kama “Magufuli mpya” — mtu mwenye msimamo mkali, asiye rahisi kushawishika wala kushirikishwa kwenye deals na ambaye, kwa mtazamo wao, akipewa nafasi kubwa zaidi anaweza kubadilika kabisa na kuwa Magufuli kamili au Zaidi.
Hakuna mahali mange kasema hii Rubbish...leta huo ushahidiNa hapa ndipo kauli za Mange kuhusu kile anachokiita “tabia za U-Magufuli” zinapata uzito mwingine.
Mwigulu usimfananishe na Magufuli hawezi kufika huko. Magufuli hakusubiri nafasi ya juu kupambana. Alipambana na wakandarasi wa hovyo na mafisadi ya TANROAD mapema kabla hata hajawa na cheo cha juu. Mwigulu huo uwezo hana, angekuwa nao cheo cha Waziri Mkuu ni kikubwa sana kwenye mapambano dhidi ya ufisadi. Hicho cheo ndo kiliwafanya akina Sokoine Kawawa na sailm Ahmed salim wasikike enzi zao. Miaka 10 au 20 ya Tanzania kupoteza mwelekeo kutokana na rais au marais wasio na uwezo ni mingi sana kuja kuicover kwenye maendeleo.View attachment 3669191
Dada Mange na Dada Maria wameendelea kuandika kwamba Mwigulu hatakiwi kabisa kuvuka kuelekea 2030.
Lakini nyuma ya kauli hizo kuna swali kubwa zaidi:
Kwa nini jina la Mwigulu linaonekana kuwapa baadhi ya watu hofu kubwa kiasi hiki?
Taarifa zinazozunguka kwenye duru za kisiasa zinadai kwamba kuna kundi lenye ushawishi ambalo limeanza kumuona Mwigulu kama “Magufuli mpya” — mtu mwenye msimamo mkali, asiye rahisi kushawishika wala kushirikishwa kwenye deals na ambaye, kwa mtazamo wao, akipewa nafasi kubwa zaidi anaweza kubadilika kabisa na kuwa Magufuli kamili au Zaidi.
Inadaiwa kwamba katika baadhi ya mazungumzo, hofu kubwa imekuwa kwamba Mwigulu akifika juu zaidi, mapambano dhidi ya ufisadi na watu wanaotuhumiwa kutumia vibaya madaraka yanaweza kuwa makali zaidi.
Ndiyo maana, kwa mujibu wa madai hayo, kuna wanaoamini kwamba Mwigulu anatakiwa kudhibitiwa kisiasa, kupuuzwa au “kupotezwa kwenye siasa mapema” kabla hajawa na nguvu zaidi.
Na hapa ndipo kauli za Mange kuhusu kile anachokiita “tabia za U-Magufuli” zinapata uzito mwingine.
Kama kweli kuna watu wanaona Mwigulu kama tishio la kisiasa kwa sababu ya msimamo wake, basi swali si tena:
“Mwigulu atafika 2030?”
Bali:
“NI NANI ANAOGOPA MWIGULU KUFIKA 2030 — NA KWA NINI?”
Moto umewaka.
Rahisi sanaKuwadanganya wadanganyika ni rahisi sana
Nimeishia hapa kusoma.Taarifa zinazozunguka kwenye duru za kisiasa zinadai kwamba kuna kundi lenye ushawishi ambalo limeanza kumuona Mwigulu kama “Magufuli mpya”
Ndiyo, kama 2015 alijitoa ufahamu na kujiandika kwenye mawe na madaraja nchi nzima kuwa ni Rais.N usikute hizi mbanga za kusemwa anazipenda maana zinampa airtime
Je, wewe uliyeanzisha thread hii ni yule Mwingulu aliyeandika mawe nchi nzima kuwa ni rais au ni chawa wake wameanza kujibu mapigo? Hakika hata sauti yako na ma-skafu ya bendera uliyovaa yanatia wasiwasi. Anyways, tangu lini Mwingulu akawa mwiba wa ufisadi wakati yeye ndiye kinara? Na zaidi... vita vya Mwingulu ni vita vya ma-fisi ndani ya CCM na siyo kama anaogopeka na kina Mange.View attachment 3669191
Dada Mange na Dada Maria wameendelea kuandika kwamba Mwigulu hatakiwi kabisa kuvuka kuelekea 2030.
Lakini nyuma ya kauli hizo kuna swali kubwa zaidi:
Kwa nini jina la Mwigulu linaonekana kuwapa baadhi ya watu hofu kubwa kiasi hiki?
Taarifa zinazozunguka kwenye duru za kisiasa zinadai kwamba kuna kundi lenye ushawishi ambalo limeanza kumuona Mwigulu kama “Magufuli mpya” — mtu mwenye msimamo mkali, asiye rahisi kushawishika wala kushirikishwa kwenye deals na ambaye, kwa mtazamo wao, akipewa nafasi kubwa zaidi anaweza kubadilika kabisa na kuwa Magufuli kamili au Zaidi.
Inadaiwa kwamba katika baadhi ya mazungumzo, hofu kubwa imekuwa kwamba Mwigulu akifika juu zaidi, mapambano dhidi ya ufisadi na watu wanaotuhumiwa kutumia vibaya madaraka yanaweza kuwa makali zaidi.
Ndiyo maana, kwa mujibu wa madai hayo, kuna wanaoamini kwamba Mwigulu anatakiwa kudhibitiwa kisiasa, kupuuzwa au “kupotezwa kwenye siasa mapema” kabla hajawa na nguvu zaidi.
Na hapa ndipo kauli za Mange kuhusu kile anachokiita “tabia za U-Magufuli” zinapata uzito mwingine.
Kama kweli kuna watu wanaona Mwigulu kama tishio la kisiasa kwa sababu ya msimamo wake, basi swali si tena:
“Mwigulu atafika 2030?”
Bali:
“NI NANI ANAOGOPA MWIGULU KUFIKA 2030 — NA KWA NINI?”
Moto umewaka.
Uko sahihi. Ila Bashiru amekuja kubadilika mno mno na kuwa mbaya kuliko fisi.Magufuli alikuwa anamuandaa Bashiru Ally Kakulwa.
Naona mnapulizia kinyesi perfume. Yaani hapa chawa wa Mwigulu ndio mnaona mnacheza bonge la mindgame.Kwa trend yake ya kusikiliza watu na kukemea ufisadi hadharani tutamuunga mkono hata kama sisi hatuipendi ccm hii ya sasa. Mwigulu anatufaa kwasababu hizo mbili tu.
View attachment 3669191
Dada Mange na Dada Maria wameendelea kuandika kwamba Mwigulu hatakiwi kabisa kuvuka kuelekea 2030.
Lakini nyuma ya kauli hizo kuna swali kubwa zaidi:
Kwa nini jina la Mwigulu linaonekana kuwapa baadhi ya watu hofu kubwa kiasi hiki?
Taarifa zinazozunguka kwenye duru za kisiasa zinadai kwamba kuna kundi lenye ushawishi ambalo limeanza kumuona Mwigulu kama “Magufuli mpya” — mtu mwenye msimamo mkali, asiye rahisi kushawishika wala kushirikishwa kwenye deals na ambaye, kwa mtazamo wao, akipewa nafasi kubwa zaidi anaweza kubadilika kabisa na kuwa Magufuli kamili au Zaidi.
Inadaiwa kwamba katika baadhi ya mazungumzo, hofu kubwa imekuwa kwamba Mwigulu akifika juu zaidi, mapambano dhidi ya ufisadi na watu wanaotuhumiwa kutumia vibaya madaraka yanaweza kuwa makali zaidi.
Ndiyo maana, kwa mujibu wa madai hayo, kuna wanaoamini kwamba Mwigulu anatakiwa kudhibitiwa kisiasa, kupuuzwa au “kupotezwa kwenye siasa mapema” kabla hajawa na nguvu zaidi.
Na hapa ndipo kauli za Mange kuhusu kile anachokiita “tabia za U-Magufuli” zinapata uzito mwingine.
Kama kweli kuna watu wanaona Mwigulu kama tishio la kisiasa kwa sababu ya msimamo wake, basi swali si tena:
“Mwigulu atafika 2030?”
Bali:
“NI NANI ANAOGOPA MWIGULU KUFIKA 2030 — NA KWA NINI?”
Moto umewaka.
Inadaiwa kwamba katika baadhi ya mazungumzo, hofu kubwa imekuwa kwamba Mwigulu akifika juu zaidi, mapambano dhidi ya ufisadi na watu wanaotuhumiwa kutumia vibaya madaraka yanaweza kuwa makali zaidi.
Mwigulu atakuwa Rais wa nchi hii 2030 pin my comment, kawashika sana raia uko ground, yeye ni kama Gachagua anasikiliza ground sio kelele za online
Hizi I'd mpya humu zinazompigia debe kwa uongo mwingi ukute ni zake mwenyewe, kaanza mapema zile harakati zake za kuandika kwenye mawe.Kwa trend yake ya kusikiliza watu na kukemea ufisadi hadharani tutamuunga mkono hata kama sisi hatuipendi ccm hii ya sasa. Mwigulu anatufaa kwasababu hizo mbili tu.
Sisiemu wote WEZI.kundi lenye ushawishi ambalo limeanza kumuona Mwigulu kama “Magufuli mpya” — mtu mwenye msimamo mkali, asiye rahisi kushawishika wala kushirikishwa kwenye deals na ambaye, kwa mtazamo wao, akipewa nafasi kubwa zaidi anaweza kubadilika kabisa na kuwa Magufuli kamili au Zaidi.
Kula nyama nyamaza 😂😂Hata kwenye Ulimwengu wa Roho inaonekana ishaidhinishwa, mbadala wake yupo. Imebaki kutumia katika Ulimwengu wa Mwili..
Kuna RC mmoja, sasa huyu sio Mbunge kabisa, Atagombea? Ngoja tuone inawezekaje, siku hizi kila kitu kinawezekana.
Dogoli kinyamkela kama hujaona hii, nakupa taarifa