Hesabu za kodi ni tofauti na hizo za kukatwa na CWT. Kumbe wewe ni Mwalimu! Vipi unajisikiaje mlivyosaidia kuiba kura mwaka jana?1% sio kiasi hicho kiongozi, Kama CWT wananikata 2% ni 18,200 nadhani hiyo unategemea na basic yako
1% sio kiasi hicho kiongozi, Kama CWT wananikata 2% ni 18,200 nadhani hiyo unategemea na basic yako
Mpaka 2050Ticha unastaafu lini?
Huwa sifungamani na siasa uchwara mimi, huwa nafanya mambo yangu ya maisha baada ya kazi, kama kilimo na ufugaji.Hesabu za kodi ni tofauti na hizo za kukatwa na CWT. Kumbe wewe ni Mwalimu! Vipi unajisikiaje mlivyosaidia kuiba kura mwaka jana?
Sasa napata picha ya skafu shingoni mwake kumbe ni ishara ya kitanzi cha kunyongea watz na si mzalendo kama walivyokuwa wanamzania, mmh!?Ijumaa hii mishahara mipya itatoka. Lile punguzo la kodi ya PAYE ambalo Dr. Mwigulu alimshauri mama kwa watumishi wenye mishahara midogo kwa hesabu za haraka ni punguzo la Shilingi 2,750/- (Shlingi elfu mbili, mia saba na hamsini tu). Kwa maana hiyo kila mtumishi wa Serikali na Sekta binafsi ata pokea nyongeza ya mshahara ya shilingi 2,750/- tu. Hii ni kwa mwezi, tofautisha na miamala ya kwenye simu ambayo hufanyika kwa kila siku na ni mara nyingi.
Kwa tafsiri ya haraka, nyongeza ya mshahara ya kila mfanyakazi wa Tanzania ni sawa na transaction moja ya kutuma au kutoa shilingi elfu ishirini kwenye mtandao wa simu.
Hiyo statement ya kuwa Serikali itaachia mihela haitakuja itokee kamwe. Dr. Mwigulu anafikir bado yupo zile Enzi za kusema mbovumbovu bungeni kama ilivyokuwa wakati wa JPM. Kwa sasa Bungeni hamna upinzani - kilichobaki upinzani utakuwa miongoni mwetu sisi wenyewe.
Rais Samia hawa watu hukutakiwa kwenda nao - yaani waropokajiropokaji wa awamu ya tano walitakuwa waishie kwenye awamu hiyo hiyo.
Mama ukiendelea kuwalea lea hawa watakurudia wewe mwenyewe - kwa sasa hamna upinzani mseme kuwa mtawasingizia hao ndiyo wakwamishaji wa mambo. Tumebaki sisi wenyewe CCM na lazima tupigane na kusigana wenyewe. DADEKI!
Umeconnect vizuri!Sasa napata picha ya skafu shingoni mwake kumbe ni ishara ya kitanzi cha kunyongea watz na si mzalendo kama walivyokuwa wanamzania, mmh!?
Duuh,1% sio kiasi hicho kiongozi, Kama CWT wananikata 2% ni 18,200 nadhani hiyo unategemea na basic yako
Wataongeza kiasi cha shilingi 9400 kutokana na basic yako na sio kiwango cha mshaharaDuuh,
Kama ndo matarajio yako ndugu yangu hutaamini macho na kichwa chako.
Iliyosemwa hapo juu ndo sahihi na ndo utaipokea.
Haifiki huko Mkuu.Wataongeza kiasi cha shilingi 9400 kutokana na basic yako na sio kiwango cha mshahara
Nimekubali mkuu, ni hatariHaifiki huko Mkuu.
Ukikuta 2500 ndo imeongezeka wiki lijalo Wala usishangae.
Hatari sana!Nimekubali mkuu, ni hatari