Mwigulu kukabidhi miundombinu ya utalii

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba leo Februari 11, 2026 ameelekea katika Hifadhi ya Taifa ya Nyerere ambapo anatarajiwa kuzindua na kukabidhi Miundombinu ya Utalii.



​
 
Ok sawa ngoja tutengeneze package za kutosha za huko maana Utalii wanaofaidi sana ni makampuni ya kigeni kwa sababu wao waliijua hii fursa mapema na wametengeneza mitaji muda mrefu wacha tupambane nao hiyo mbuga ni hela pia maana ina wanyama wengi pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…