Mwigulu, Makamba na Mbarawa hawahusiki na ufisadi

Rege

Senior Member
Joined
Jul 9, 2022
Posts
117
Reaction score
153
Mawaziri Mwigulu Nchemba, January Makamba na Makame Mbarawa wanasingiziwa kuhusika na ufisadi kupitia ripoti ya CAG lakini ukweli ni kwamba viongozi hawa wanasingiziwa na hakuna uthibitisho wowote wa wao kuhusika na ufisadi.

Hivyo tuwaache wafanye kazi walioaminiwa na Rais tusilazimishe kuwatungia kashfa za uongo

Prof. Mbarawa

Mwigulu

January Makamba
 
Kwani Mzee Mwinyi alipojuzulu Uwaziri wa Mambo ya ndani wakati wa Utawala wa awamu ya kwanza kwa makosa ya Watendaji wake wa chini inamaana kwamba alishiriki kufanya vitendo viovu kwa Wananchi?
Jibu,ni hapana ila aliwajibika kwasababu yeye ndiye mwenye dhamana.
Jifunzeni uongozi bora siyo kuropokaropoka kwasababu mnapewa vichenjichenji!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Kwani nani kasema hao wanahusika na ofisadi?
Sisi tumesema hao ni wezi wakuu wa taifa.
 
Lete ushahidi wako tutakusikiliza, sie tunao wa CAG unajieleza.Hao jamaa wee achatu.
 
Mwigulu akijiuzulu we utapata nini, acha roho mbaya namna hiyo, kapambane nawe upate fursa zinazofanana na hizo za Mwigulu. Maskini wana roho mbaya sana, furaha yenu ni kuona wenzenu wanaanguka.
 
Hawahusiki vipi wakati bungeni wakijibu maswali wanataja ni wizara zao?Na fedha za budget huomba wao?walipasa wao wawataje wezi wanaowaibia sio wangoje sieji
 
Wewe ni nani?,wakili wao,au CAG wa kujitegemea?
 
Asipokuelewa ujue ni mtoto wa kikopo huyo
 
Mwigulu akijiuzulu we utapata nini, acha roho mbaya namna hiyo, kapambane nawe upate fursa zinazofanana na hizo za Mwigulu. Maskini wana roho mbaya sana, furaha yenu ni kuona wenzenu wanaanguka.
Wewe utakuwa ni kimada wa Mwigulu
 
Mwigulu akijiuzulu we utapata nini, acha roho mbaya namna hiyo, kapambane nawe upate fursa zinazofanana na hizo za Mwigulu. Maskini wana roho mbaya sana, furaha yenu ni kuona wenzenu wanaanguka.
Wakiiba ndiyo wanatajirika tuwaache waeendelee kuiba ili wasiwe na roho mbaya sawa.
 
Da Esther unajitahidi kweli kumpambania mumeo.
 
Ripoti ya CAG IPO wazi!!

Wafukuzwe mara Moja.
 
Umeandika maneno mengi yasiyo na maana na haujaweka evidence.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…