Mwigulu&mtela na shoza lipeni deni la mkopo bodi

Elineema Mosi

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
255
Reaction score
72
Ndugu wana JF
Jina langu ni Elineema Jonathan Mosi
, Wapo baadhi ya watu wanadaiwa na bodi ya mikopo nchini hawataki kulipa huku bodi ikikabiliwa na changamoto nyingi sana za ongezeko la waombaji chanzo cha uhakika sana naomba msibishe tu bila kuwa na risiti hapa
Mwigulu mchemba, mtela mwampamba naJuliana shoza wanadaiwa na bodi ya mikopo nchini, hivyo tunawaomba walipe madeni yao. Mtela katafute kazi ya Ualimu ulipe deni lako la mkopo, Mchemba kama unavyojivuna kuwa unatoa laki 5 kwa wenye shida basi lipa deni ulilokopa la bodi, tunajua unadaiwa huna nanna lipa deni lako ili wengine nao wakakope. Naanza na hao kwanza wakalipe, mzalendo namba moja.
 
Astaghafirullah! yamekua hayo tena? Sasa hilo deni halina muda wa kulipa?
si watalipa kwa muda jamani, mbona mnatumia JF kama gazeti la udaku? :nono:
 
Mliotajwa tafadhali, msijifanye hamjasoma hii post, hebu njooni mueleze mtalipa lini hayo madeni yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…