Mbunge, Luhaga Mpina amesema bungeni kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Damas Ndumbaro amewasilisha taarifa ya uongo bungeni na kulisingizia Bunge kuwa lilipitisha Azimio la Bunge la kusamehe hasara na upotevu wa mali za Serikali zenye thamani ya Bilioni 19.7.
Hii inakuwa ni kashfa nyingine kubwa kwa Waziri Ndumbano kusamehe fedha hizo na kuwasingizia wabunge walipitisha azimio hilo.
Kama itathibitika azimio hilo ni la uongo Waziri wa Katiba na Waziri Mwigulu wanapaswa kujizulu.