TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Habari wadau..!
Huku mitaani wenye nyumba tumeipokea kwa furaha sana bajeti ya Mwigulu Lameck Nchemba.
Kwa sasa tutakuwa hatusumbuki tena kwenda bank kulipa kodi maana kodi zitalipwa automatically na wapangaji kupitia manunuzi ya umeme kama wenye nyumba hauishi kwenye nyumba uliyopangisha hii itatupunguzia mzigo au tutachangia wote kama tunaishi pamoja.
Hapa ndio ninapoona kwamba mama Samia Suluhu Hassani the presidente of JMT hakukosea kuchagua Mwigulu.
[emoji57][emoji57][emoji57]Habari wadau..!

Mkataba ndio kila kitu ,hapa nafanya mabadiliko ya mkataba .Si unajua mtu anapokuwa na shida ya chumba au nyumba akibanwa huwa hawasomi mikataba au hata wakisoma wanakubali tu kila kitu hata ukimwambia mke wako atakuwa anakuja kunipikia weekend mtu anasaini tu anakwambia hakuna shida faza hausi.๐๐๐๐๐Wapangaji watawadai nyie Mbona rahisi tu[emoji23][emoji23]...
Ukizeeka wewe utakuwa mchawi,yaani unafanya fitina zote ili Gavo isipate kodi๐๐๐Hapo dawa yake ni mwenye nyumba kuweka Solar.
Nae mpangaji asimamie isile kwake make nyumba si yake!
NB: Sikutegemea nia njema kutoka kwa mwigulu!!
Mkuu hiyo Gava tayari inakodi kibao kwa wafanyabiashara wakubwa ishashindwa kukusanya. Imezidiwa ujanja. Alafu wanarudi kwa wanyonge wao...Ukizeeka wewe utakuwa mchawi,yaani unafanya fitina zote ili Gavo isipate kodi๐๐๐
Watapataje wakati wanakusubiri ununue luku??Kwahiyo ukiweka solar serikali haipati kodi? Watizame Upya.
Hiyo ni dhulma,12K per year inakutia dhambi au nyumba umerithi hiyo?Mkataba ndio kila kitu ,hapa nafanya mabadiliko ya mkataba .Si unajua mtu anapokuwa na shida ya chumba au nyumba akibanwa huwa hawasomi mikataba au hata wakisoma wanakubali tu kila kitu hata ukimwambia mke wako atakuwa anakuja kunipikia weekend mtu anasaini tu anakwambia hakuna shida faza hausi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Habari wadau..!
Huku mitaani wenye nyumba tumeipokea kwa furaha sana bajeti ya Mwigulu Lameck Nchemba.
Kwa sasa tutakuwa hatusumbuki tena kwenda bank kulipa kodi maana kodi zitalipwa automatically na wapangaji kupitia manunuzi ya umeme kama wenye nyumba hauishi kwenye nyumba uliyopangisha au tutachangia wote kama tunaishi pamoja hii itatupunguzia mzigo sana kwa wenye nyumba.
Hapa ndio ninapoona kwamba mama Samia Suluhu Hassani the presidente of JMT hakukosea kuchagua Mwigulu.