gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Ukiwa kwenye Baraza la mawaziri kuna mambo hutakiwi kufanyaYani mimi ningekuwa Mwigulu nisingekanusha kabisa.
Ningewaambia ndio ni kweli na muhusika kumfungulia kesi tu.
Alichofanya Mwigulu ni kitendo cha kawaida tu ambacho wengi wetu humu tunafanya.
Bahati mbaya yake ni kuwa wasiomtaka wanataka kutumia ubinaadamu wake kama silaha ya kudhalilisha utu wake.
As long as alikuwa hagongwi yeye, hakuna baya lolote.
Ni halisi, kwani hujaona?Video ni halisi?
Duh 🙄 !MWIGULU TULIA UTOLEWE
Huna Hadhi ya kuwa PM ukakae na wewe BURUNDI sasa
tatizo atapewa makonda u PM so na wewe kama mwanaume muue mapema ubakie hapo
Nimeiona,ila ku-verify Sina huo utaalamNi halisi, kwani hujaona?
PM amefanyiwa blackmailed
Yeye sio mlaini kama Chongolo ! Maana yake aliyemsulubu jamaa ndio huyo huyo tena mara nyingine ameshafahamika ??!
Michezo ya kisiasa hiyo, najua kuanzia sasa ataongeza umakini.Nimeiona,ila ku-verify Sina huo utaalam