Ndo ushangae IMF wametoa takwimu za nchi ambazo uchumi wao unakua kwa kasi Afrika Tanzania hamnaWananchi wanasemaje hiko ndio kipimo cha kazi sio ujinga anao ongea.
Hawa watu wanaishi kwenye dunia yao.
Kama hela zipo wawalipe wakandarasi madeni yao, wasiseme tu majukwani kwamba wana hela. Watu wanashidwa kufanya kazi kwa ajili ya kuidai serikali halafu wanatamba majukwani wana hela.Mgombea Ubunge wa Jimbo la Iramba Magharibi ambaye pia ni Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Taasisi zinazopima Maendeleo Bora ya kiuchumi na huduma Bora za Jamii zimeielezea Tanzania kama moja ya nchi kinara Kwa Nchi zote za Bara la Afrika kwenye kutekeleza miradi ya maji, kutimiza malengo ya milenia na kwenye uchumi imara
Dkt. Mwigulu ameyasema hayo Oktova 19,2025 katika uwanja wa Shule ya Sekondari Kizwite Wilayani Sumbawanga Mkoani Rukwa kwenye mwendelezo wa Mikutano ya Kampeni za uchaguzi Mkuu ya Mgombea wa kiti Cha Urais Kwa Tiketi ya CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan
Soma pia GE2025 - Mwigulu Nchemba: Wapuuzeni wanaosema tumechapisha fedha, nchi ina akiba ya Dola Bilioni 6.7 (sawa na Trilioni 16)