Team yetu ilikuwa nzuri msimu uliopita.umewagaia yanga wachezaji wetu wakali Sasa hivi team imekuwa mbovu.hatukomi kukuzomea.hakuna support yoyote zaid umeharibu tu soka la singida.
Haiwezekani biashara watupeleke mbio.walogaji tu hao wanapigwa Hadi na coastal sisi tunawashindwa Nini?