Mwigulu ulichotufanyia SINGIDA United sio poa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Team yetu ilikuwa nzuri msimu uliopita.umewagaia yanga wachezaji wetu wakali Sasa hivi team imekuwa mbovu.hatukomi kukuzomea.hakuna support yoyote zaid umeharibu tu soka la singida.
Haiwezekani biashara watupeleke mbio.walogaji tu hao wanapigwa Hadi na coastal sisi tunawashindwa Nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HAHAHAAA ULIJUAJE ALIEWALETA USINGEPIGA POROJOOO

TULIAA MSUMARI UINGIEE
 
Team yetu ilikuwa nzuri msimu uliopita.umewagaia yanga wachezaji wetu wakali Sasa hivi team imekuwa mbovu.hatukomi kukuzomea.hakuna support yoyote zaid umeharibu tu soka la singida.
Haiwezekani biashara watupeleke mbio.walogaji tu hao wanapigwa Hadi na coastal sisi tunawashindwa Nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani alikua anawalipa misharaha, usimlaumu wakati huchangii chochote kwenye team,

Usiwe kama wazee wa simba/yanga wanajua kulaumu tu lakini hata pilipili hawawezi kuchangia
 
Naona unatokwa povu chafu na kutapakaza ma thred yako ya Singida kwenye hili jukwaa na kuiita Timu yetu kuwa ya Walogaji, Na mwaka huu mtashuka daraja tuone mtamfanyie nani zile mbwembwe zenu.
 
Back
Top Bottom