ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
HAHAHAAA ULIJUAJE ALIEWALETA USINGEPIGA POROJOOOTeam yetu ilikuwa nzuri msimu uliopita.umewagaia yanga wachezaji wetu wakali Sasa hivi team imekuwa mbovu.hatukomi kukuzomea.hakuna support yoyote zaid umeharibu tu soka la singida.
Haiwezekani biashara watupeleke mbio.walogaji tu hao wanapigwa Hadi na coastal sisi tunawashindwa Nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani alikua anawalipa misharaha, usimlaumu wakati huchangii chochote kwenye team,Team yetu ilikuwa nzuri msimu uliopita.umewagaia yanga wachezaji wetu wakali Sasa hivi team imekuwa mbovu.hatukomi kukuzomea.hakuna support yoyote zaid umeharibu tu soka la singida.
Haiwezekani biashara watupeleke mbio.walogaji tu hao wanapigwa Hadi na coastal sisi tunawashindwa Nini?
Sent using Jamii Forums mobile app