Mwigulu vipi ule mpango wako wa kusaidia vijana wa jimbo lako kitaaluma?

Avanti

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2010
Posts
1,209
Reaction score
240
Mheshimiwa habari?
Nakusalimu kwa kuwa najua we kupitia JF si haba, mara 5 kwa siku sio mchezo!
Ila napenda kukuuliza kuwa vipi ule mpango wako wa kusaidia vijana wa jimbo lako kitaaluma ukoje? Kuna wakati uliwahi kutamka kuwa utakuwa unachukua vijana kama watano au zaidi kutoka kila shule ya sekondari (hasa zile za kata) na kuwaweka kambini ili uwapatie walimu wazuri wafundishwe at least kila shule jimboni mwako ipate hata division one. Siku zimeenda ingawa sijafuatilia kama ulisimamia matamshi yako kwa vitendo. Na siku unatamka hayo mimi nilikuwepo na ukaitaja shule yako ya kata - Kyengege (ona hapo chini ilivyotoka na form ya 2012) kuwa ingepata kipaumbele kwa sababu inachukua ndugu zako toka shule ya kijijini kwako Makunda. Kilichonishangaza ni hii shule kupata divisions 4 nne tu kati ya watoto 42. Sasa najiuliza huo mpango ulikuwepo kweli ama ulitamka tu maneno ya kuwafariji wapiga kura wako kisiasa? Tunaomba majibu kaka!

[h=1]
CSEE 2012 EXAMINATION RESULTS​
[/h]
S2646 KYENGEGE SECONDARY SCHOOL​
[h=3]DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 4 FLD = 38[/h]

[TD="width: 6%"]
CNO
[/TD]
[TD="width: 4%"]
SEX​
[/TD]
[TD="width: 6%"]
AGGT​
[/TD]
[TD="width: 4%"]
DIV​
[/TD]
[TD="width: 58%"]
DETAILED SUBJECTS​
[/TD]

[TD="width: 6%"]
S2646/0001​
[/TD]
[TD="width: 4%"]
F​
[/TD]
[TD="width: 6%"]
35​
[/TD]
[TD="width: 4%"]
FLD​
[/TD]
[TD="width: 58%"]
CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F LIT ENG-F PHY-F CHEM-F BIO-F B/MATH-F​
[/TD]

[TD="width: 6%"]
S2646/0002​
[/TD]
[TD="width: 4%"]
F​
[/TD]
[TD="width: 6%"]
*E​
[/TD]
[TD="width: 4%"]
*E​
[/TD]
[TD="width: 58%"]
---​
[/TD]

[TD="width: 6%"]
S2646/0003​
[/TD]
[TD="width: 4%"]
F​
[/TD]
[TD="width: 6%"]
34​
[/TD]
[TD="width: 4%"]
FLD​
[/TD]
[TD="width: 58%"]
CIV-F HIST-F GEO-F KISW-D ENGL-F LIT ENG-F PHY-F CHEM-F BIO-F B/MATH-F​
[/TD]

[TD="width: 6%"]
S2646/0004​
[/TD]
[TD="width: 4%"]
F​
[/TD]
[TD="width: 6%"]
35​
[/TD]
[TD="width: 4%"]
FLD​
[/TD]
[TD="width: 58%"]
CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F LIT ENG-F PHY-F CHEM-F BIO-F B/MATH-F​
[/TD]

[TD="width: 6%"]
S2646/0005​
[/TD]
[TD="width: 4%"]
F​
[/TD]
[TD="width: 6%"]
35​
[/TD]
[TD="width: 4%"]
FLD​
[/TD]
[TD="width: 58%"]
CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F LIT ENG-F PHY-F CHEM-F BIO-F B/MATH-F​
[/TD]

[TD="width: 6%"]
S2646/0006​
[/TD]
[TD="width: 4%"]
F​
[/TD]
[TD="width: 6%"]
35​
[/TD]
[TD="width: 4%"]
FLD​
[/TD]
[TD="width: 58%"]
CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F LIT ENG-F PHY-F CHEM-F BIO-F B/MATH-F​
[/TD]
 
labda awasaidie kubadilii majina na kutumia ya walio faulu zamani.
 
kwa swala la elimu ni bora wakaunganisha nguvu na kuhakikisha walimu wanapangwa katika kila shule na wanafundisha na wao wapatiwe vitabu vya kusoma.

mhe mchemba nakumbuka nilikuwa safarini kutoka dar kwenda mwanza nilipata matatizo ya kiafya ikalazimika kupelekwa katika zahanati ya misigiri ambayo iko njia panda ya kuelekea kiomboi cha kushangaza nilikuta kuna container moja pale nje na baada ya kuuliza watumishi kuna nini kule ndani nikaambia ni msaada wa vifaa kutoka kwa wahisani vina miaka mitatu pale hazijafunguliwa na wanahisi pia kuna baadhi ya madawa pia yameisha mda wake.Nakuomba ili kuokoa vile viffaa utoke dar uende ukasimamia vitumike ili viwize kusaidai maisha ya watu kama mimi niliyekuwa mpita njia na kuugua nikiwa napita jimbo lako.
 

Kwani ni yeye kakwamisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…