Mwigulu yupo wapi, mbona kimya ghafla?

Pumzi imekata mapema sana. Alidhani atapata umaarufu waharaka.
kwenye mikutano yake WANANCHI wenye akili walikuwa wakimuangalia kama nyanya mbichi,

kujiweka madarakani kumesababisha watawala hawa wakose kibali kabisa! hopeless
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…