Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Hizo ndio timu wanacheza nazo pre season, wajukuu wa MangunguDuh! Kweli kila mtu ana bahati yake!!
Yusuph Athuman hata namba tu alikuwa hapati pale Yanga, kiasi cha kupelekwa kwa mkopo Coastal Union! Na ambako pia ali struggle sana msimu uliopita! Walau Eric Mwijage alikuwa na muda mwingi wa kucheza kule Kagea Sugar!!
All the best kwao.
Kumbuka kuwa msimu huu hiyo timu imepanda na itashiriki Armenian Premier League na wanaomaliza nafasi za juu kwenye hiyo wanapata nafasi za kushiriki UEFA Champions League na UEFA Confederation.Hizo ndio timu wanacheza nazo pre season, wajukuu wa Mangungu
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mpira connection, networking ,wabongo wanafeli hapo tuDuh! Kweli kila mtu ana bahati yake!!
Yusuph Athuman hata namba tu alikuwa hapati pale Yanga, kiasi cha kupelekwa kwa mkopo Coastal Union! Na ambako pia ali struggle sana msimu uliopita! Walau Eric Mwijage alikuwa na muda mwingi wa kucheza kule Kagea Sugar!!
All the best kwao.
Sahihi kabisa.Tanzania tuna wachezaji wengi tu wa kucheza nje ya nchi.Mpira connection, networking ,wabongo wanafeli hapo tu
Wanakosa networking,Sahihi kabisa.Tanzania tuna wachezaji wengi tu wa kucheza nje ya nchi.