johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mgombea ubunge wa CCM jimbo la Kawe mh Mwijaku alitaka kurusha ngumi Mbele ya waandishi wa habari baada ya kuambiwa na mwanaccmwenzake kuwa Yeye ni CHAWA.
Mwijaku alisema yeye ana kipato cha kutosha kukidhi mahitaji ya familia yake na ana degree mbili na ni mtu anayeheshimika hivyo ni matusi makubwa na ya nguoni kumuita ni "Chawa"
Dominica Njema!
Mwijaku alisema yeye ana kipato cha kutosha kukidhi mahitaji ya familia yake na ana degree mbili na ni mtu anayeheshimika hivyo ni matusi makubwa na ya nguoni kumuita ni "Chawa"
Dominica Njema!