johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hili ni jukwaa la Siasa. Siyo udaku, JIHESHIMUMgombea ubunge wa CCM jimbo la Kawe mh Mwijaku alitaka kurusha ngumi Mbele ya waandishi wa habari baada ya kuambiwa na mwanaccmwenzake kuwa Yeye ni CHAWA
Mwijaku alisema yeye ana kipato cha kutosha kukidhi mahitaji ya familia yake na ana degree mbili na ni mtu anayeheshimika hivyo ni matusi makubwa na ya nguoni kumuita ni " Chawa"
Dominica Njema!
Wewe hujawahi kugombea hata uenyekiti wa kijiji lakini Mwijaku alipambana na akina Pascal Mayalla pale Kawe kwenye ubungeHili ni jukwaa la Siasa. Siyo udaku, JIHESHIMU
Hivi alimpita idadi za kura pascallyWewe hujawahi kugombea hata uenyekiti wa kijiji lakini Mwijaku alipambana na akina Pascal Mayalla pale Kawe kwenye ubunge
Mwijaku hakupata hata kura MojaHivi alimpita idadi za kura pascally
Ova
Kura moja nayo ni kiasi..hahaaaMwijaku hakupata hata kura Moja
Pascal Mayalla alipata kiasi!
Pascal alipata kura moya tuMwijaku hakupata hata kura Moja
Pascal Mayalla alipata kiasi!
KAMA CHAWA NI TUSI LA NGUONI, VIPI WALE YALIOJIITA CHAWA WA MAMA NA KUFANYA LAUCHING KUBWA NA YA AINA YAKE, WALIKUWA WANA LAUNCH MATUSI YA NGUONI?Mgombea ubunge wa CCM jimbo la Kawe mh Mwijaku alitaka kurusha ngumi Mbele ya waandishi wa habari baada ya kuambiwa na mwanaccmwenzake kuwa Yeye ni CHAWA.
Mwijaku alisema yeye ana kipato cha kutosha kukidhi mahitaji ya familia yake na ana degree mbili na ni mtu anayeheshimika hivyo ni matusi makubwa na ya nguoni kumuita ni "Chawa"
Dominica Njema!
Kma watu wenye degree mbili ni ndo wapo kama mwijaku bora tusisome kabisa aisee maana ni aibuMgombea ubunge wa CCM jimbo la Kawe mh Mwijaku alitaka kurusha ngumi Mbele ya waandishi wa habari baada ya kuambiwa na mwanaccmwenzake kuwa Yeye ni CHAWA.
Mwijaku alisema yeye ana kipato cha kutosha kukidhi mahitaji ya familia yake na ana degree mbili na ni mtu anayeheshimika hivyo ni matusi makubwa na ya nguoni kumuita ni "Chawa"
Dominica Njema!
π€©π€© Ilikuwa yangu!Pascal alipata kura moya tu