lwambof07
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 4,643
- 5,335
Mtangazaji wa CloudsFM kipindi cha LEO TENA Burton Mwemba maarufu Mwijaku ni miongoni mwa Watanzania waliojitokeza leo Ofisi za CCM Lumumba DSM kuchukua fomu ya kugombea U-spika wa Bunge la Tanzania kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Job Ndugai.
Hii nchi haijawahi kuishiwa kwa vituko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Hii nchi haijawahi kuishiwa kwa vituko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]