Mwijaku ajiunga na Crown Media

Mwijaku ajiunga na Crown Media

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Wakuu nasikia Mwijaku kashaikimbia Clouds Media Group na kashasaini Crown Media. Hivi huko kwa ndugu yetu Ally Kiba kuna nini cha ziada au teseme katenga mishahara minono kwa hawa watangazaji?

Naona sasa Crown Media inakusanya talents zote kutoka Wasafi, Clouds, Efm na kwingineko.

Hebu tusubiri kifuatacho.
 
Huu si ni ujinga? Anaacha redio kubwa inayosikika karibu kila mkoa wa nchi hii anakimbilia kiredio cha mtaani jijini dar! Sasa huko watu wa mikoani watajuaje kama kuna mtangazaji anaitwa mwijaku? Bora angeenda hata east africa radio inayosikika pakubwa nchini
 
Watu wanaacha kazi kwenye radio zinazo sikika dunia nzima, wanaenda kwenye radio zinazosika ndaninya nchi tu, kila mtu ana kipaumbele chake, hasa kwenye maslahi!! Clouds fm miaka hiyo ilikuwa inasikika dar tu lakini watangazaji wake wake walikuwa maarufu nchi nzima!! Kuzidi wale wa radio one, radio tanzania, na rfa, zilizokuwa zinasikika nchi nzima, kitu cha kwanza anza ni maslahi tu,
 
Huu si ni ujinga? Anaacha redio kubwa inayosikika karibu kila mkoa wa nchi hii anakimbilia kiredio cha mtaani jijini dar! Sasa huko watu wa mikoani watajuaje kama kuna mtangazaji anaitwa mwijaku? Bora angeenda hata east africa radio inayosikika pakubwa nchini
Tafuta hela mkuu, watu hawana shida na umaarufu usio na pesa.
 
Huu si ni ujinga? Anaacha redio kubwa inayosikika karibu kila mkoa wa nchi hii anakimbilia kiredio cha mtaani jijini dar! Sasa huko watu wa mikoani watajuaje kama kuna mtangazaji anaitwa mwijaku? Bora angeenda hata east africa radio inayosikika pakubwa nchini

Watu wanaangalia maslahi.

Mwijaku hawezi kupotea. Sababu ni content creator social media.

Mitandao ndio inamtangaza mwijaku. Hata akifanya kazi redio ndogo bado nchi nzima watamuona tu kwa heka heka zake mtandaoni
 
Back
Top Bottom