Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Watu wanaacha kazi kwenye radio zinazo sikika dunia nzima, wanaenda kwenye radio zinazosika ndaninya nchi tu, kila mtu ana kipaumbele chake, hasa kwenye maslahi!! Clouds fm miaka hiyo ilikuwa inasikika dar tu lakini watangazaji wake wake walikuwa maarufu nchi nzima!! Kuzidi wale wa radio one, radio tanzania, na rfa, zilizokuwa zinasikika nchi nzima, kitu cha kwanza anza ni maslahi tu,Huu si ni ujinga? Anaacha redio kubwa inayosikika karibu kila mkoa wa nchi hii anakimbilia kiredio cha mtaani jijini dar! Sasa huko watu wa mikoani watajuaje kama kuna mtangazaji anaitwa mwijaku? Bora angeenda hata east africa radio inayosikika pakubwa nchini
Tafuta hela mkuu, watu hawana shida na umaarufu usio na pesa.Huu si ni ujinga? Anaacha redio kubwa inayosikika karibu kila mkoa wa nchi hii anakimbilia kiredio cha mtaani jijini dar! Sasa huko watu wa mikoani watajuaje kama kuna mtangazaji anaitwa mwijaku? Bora angeenda hata east africa radio inayosikika pakubwa nchini
Huu si ni ujinga? Anaacha redio kubwa inayosikika karibu kila mkoa wa nchi hii anakimbilia kiredio cha mtaani jijini dar! Sasa huko watu wa mikoani watajuaje kama kuna mtangazaji anaitwa mwijaku? Bora angeenda hata east africa radio inayosikika pakubwa nchini