Habari za Kazuramimba mkuuAlafu huyu kawa mtundu alipokuwa mkubwa, wakati kaka yake alikuwa mtundu alipokuwa mdogo ajabu sana.
Hawa ni wakazi wa Moro, kitambo.Habari za Kazuramimba mkuu
Deshi nyingi sana best.Kheeeeeh yaan kesi yake na Menina ilikua bado tyuuh? Uwiiiih huyu kidampa analo, labda yule....... Atamuokoa kwa hili. Ngija nione nguvu ya......
Makubwa haya tena khaaaah,.
Na akachukua fomu ya kugombea uspika wa Bunge.Hii ishu ndiyo ilikua inatafutiwa ushahidi kipindi chote?
Na akagombea ubunge
Bila shaka hilo kosa linaangukia kwenye Cyber crime law,atahukumiwa kifungo au kulipa faini.Kwani sheria inasemaje apo wakimbana fresh anakula namba.
Mwijaku anakabiliwa na shtaka moja la kusambaza picha za utupu kinyume cha sheria.
Niacheni nicheke mie π€£πππ
View attachment 2212538
Kheeeeeh yaan kesi yake na Menina ilikua bado tyuuh? Uwiiiih huyu kidampa analo, labda yule....... Atamuokoa kwa hili. Ngija nione nguvu ya......
Makubwa haya tena khaaaah,.
Ni yupi hapo kwenye clip maana wengine hatumjuiAtaokolewa na yule ambae hua mwijaku anampa zawadi aliyotunukiwa na muumba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na zipo nyingi zaidi.Deshi nyingi sana best.