Mwijaku akutwa na kesi ya kujibu shtaka la kusambaza picha za utupu kinyume cha sheria

Mtoa mada ameandika kama anafukuzwa
 
πŸ€”πŸ€”Kuna kitu kinajaribu kunijia lakini basi..
 
Kama kweli ile mbususu ya menina alichakata yeye basi namuonea wivu sana!
 
Halaf ilikuwa awe Spika wa Bunge la Jamhuri ya CCM huyu
 
Nilijuaga ilishaishaga hii mambo
 
Mh. !! Mtangazaji wa Clouds? Aisee mbona kama hv vyombo vya habari vinakosa weledi kabisa. Ndio maana mama kawaambia wamkune vizuri
 
Kheeeeeh yaan kesi yake na Menina ilikua bado tyuuh? Uwiiiih huyu kidampa analo, labda yule....... Atamuokoa kwa hili. Ngija nione nguvu ya......

Makubwa haya tena khaaaah,.
eti kidampa aisee we kweli mkongwe hili ni neno la zamani mno
 
Kheeeeeh yaan kesi yake na Menina ilikua bado tyuuh? Uwiiiih huyu kidampa analo, labda yule....... Atamuokoa kwa hili. Ngija nione nguvu ya......

Makubwa haya tena khaaaah,.
Hivi wewe huwa unasoma saa ngapi kila muda uko mitandaoni?
 
Ndiyo manaaa! Picha alizosambaza ni zake au za watu wengine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…