Mwijaku akutwa na kesi ya kujibu shtaka la kusambaza picha za utupu kinyume cha sheria

Kama aliweza kuchukua form ya uspika atashindwa nini ubunge ni swala la muda tu
 
Kwa ile connection mm namlaumu Huyo demu maana video zote zinaonyesha alikuwa anajirecord so kuhusu kusambazwa lazima uzembe ulianzia kwake
 
Nina kijana wangu pale Mnazi Mmoja Zanzibar amenitumia baadhi ya picha za Mwijaku asubuhi hii akimsifia Rais SSH.
 
na kujipendekeza kote kwa ccm na kwa mama ila serikali hipo pale pale .
fundisho kwa ccm na chawa
Hipo ulimaanisha kiboko yule wa kwenye maji?

maana mwi-j kidogo afanane na hipo
 
Kwa wenzetu kwa hizi tuhuma tu unakaa pembeni, mpaka huonekane huna hatia, ila ukikutwa nayo kibarua ndio basi, ila kwetu huyu ataendelea kutangaza kama kawa.
 
Hivi wewe huwa unasoma saa ngapi kila muda uko mitandaoni?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unanilipia ada?
Au safari yangu ya Elimu iko mikononi mwako? Unikomeee.
Msieeeeew.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…