johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mtu anayemdharirisha mkewe wa Ndoa kwa mambo madogo madogo kama ya Mpira hafai kabisa kuwa Mbunge iwe ni Kawe au Kigamboni, anasema mzee Mgaya
Mzee Mgaya anasema CCM inaweza ikajichanganya na kumpitisha Mwijaku ila Wanachama hawatakubali huku mtaani kwani 75% ya Wapiga kura wa CCM ni wamama
Baadae Mlale Unono 😀
PIA SOMA
- Mwijaku vipi ameshamkabidhi Ali Kamwe Mke wake haaa!