J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Aug 9, 2024 #1 Mtu anayemdharirisha mkewe wa Ndoa kwa mambo madogo madogo kama ya Mpira hafai kabisa kuwa Mbunge iwe ni Kawe au Kigamboni, anasema mzee Mgaya Mzee Mgaya anasema CCM inaweza ikajichanganya na kumpitisha Mwijaku ila Wanachama hawatakubali huku mtaani kwani 75% ya Wapiga kura wa CCM ni wamama Baadae Mlale Unono π PIA SOMA - Mwijaku vipi ameshamkabidhi Ali Kamwe Mke wake haaa!
Mtu anayemdharirisha mkewe wa Ndoa kwa mambo madogo madogo kama ya Mpira hafai kabisa kuwa Mbunge iwe ni Kawe au Kigamboni, anasema mzee Mgaya Mzee Mgaya anasema CCM inaweza ikajichanganya na kumpitisha Mwijaku ila Wanachama hawatakubali huku mtaani kwani 75% ya Wapiga kura wa CCM ni wamama Baadae Mlale Unono π PIA SOMA - Mwijaku vipi ameshamkabidhi Ali Kamwe Mke wake haaa!
M Matongee JF-Expert Member Joined Jun 17, 2023 Posts 1,056 Reaction score 2,729 Aug 9, 2024 #2 Kama Babutale alipitishwa usishangae huyu mropokaji akapitishwa.
Mamndenyi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 43,242 Reaction score 60,939 Aug 9, 2024 #3 Huyo mwanamke ajiongeze, ipo siku atauzwa
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Aug 9, 2024 Thread starter #4 Mamndenyi said: Huyo mwanamke ajiongeze, ipo siku atauzwa Click to expand... Muda huu wanayanga ndio wanaelekea Kigamboni kumchukua mwali ππ
Mamndenyi said: Huyo mwanamke ajiongeze, ipo siku atauzwa Click to expand... Muda huu wanayanga ndio wanaelekea Kigamboni kumchukua mwali ππ
To yeye JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 35,686 Reaction score 86,968 Aug 9, 2024 #5 Atapita na hutoshangaa
Wagumu Tunadumu JF-Expert Member Joined Dec 10, 2022 Posts 5,276 Reaction score 17,354 Aug 9, 2024 #6 Mwijaku huwa pimbi sana,pamoja na vituko vyake huwa anaamin mama anaweza kumpa teuzi