Mwijaku alishindwa nini kununua kiwanja kinachoendana na mipango yake ya ujenzi? Kampuni ya ujenzi ilishindwa kumshauri?

Mkuu,

Unachosema mimi nilikiona tangu jana ile video ilivyokuwa inasambaa.

Nikataka kulisema hili, lakini, nikajirudi kwa kufikiri kuwa, labda hili ni jambo la kawaida Tanzania na mimi ndiye ambaye niko out of touch na jinsi watu wanavyoishi Tanzania.

Nikasema Kiranga punguza kiranga, usiwe mtu wa kukosoa kila kitu, acha watu wajimwaemwae kwa mafanikio yao.

Nikabaki kimya.

Ila, nashukuru sana na wewe umeliona hili na kulisema, kumbe wengi tumeona hilo si mimi tu.
 

Hahah sasa aalike wageni 100 wote hao wa nini?[emoji28]
Parking ya magari 20 ya nini yote hiyo?
Yani ujenge parking kubwa kwaajili ya matukio ambayo hayafanyiki mara kwa mara?!
Unafaidika vipi na parking ya magari 20 wakati lengo lako ni kumiliki magari 2 au 3 tu kwaajili yako na familia yako.

Ile ni nyumba yake (private property) sio jengo la Umma bro[emoji28]
 
Kiko wapi hicho kiwanja😂🤣😀
 
Achana na wageni nyumba kuwa na eneo la kutosha ipo raha yake bwana
 
wew unayoooo, acha uchhawiiiiiii.
 
Hivi uchawi huwa mnazaliwa nao au mnajifunzia mtaani. Embu tunyeshe ulipojenga wewe na mjengo wako
 
Bongo hakuna nyumba ya kuishi yenye thamani ya billioni 1

Hahah mkiambiwa mtoke mikoani mje mjini hamtaki[emoji28] Nyumba ya marehemu Mchungaji Rwakatare umeiona? Nyumba ya Askofu Kakobe? Vipi nyumba ya Nabii Goe Davie? Nyumba za Lugumi?

Haya basi tafuta nyumba ya Doreen aliyefanyiwa sendoff juzijuzi ambaye alipewa zawadi na Baba yake Bilionea Tarimo. Nyumba ipo Shanti Town, Moshi.
 
Kwani higo 1.2b unadhani alikuwa nayo bank au ni hesabu baada ya kumaliza ujenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…